@gabyconscious@Themind2020 Ngatunga alikuwa na pisi yake waboi wanaivizia basi alikuwa anakuja assembly kupiga biti utasikia nyie madogo ukisikia watu wanauana duniani ni pesa au mwanamke sasa jichanganye kwa mke wangu
@officialmtanga @Adventure_36@Foseveni47 Na ndio taaluma inayofiti kila sehemu ila wanaibagua sana ,maana PCCB wanahitaji walimu wengi wakaelimishe jamii kuhusu rushwa na madhara yake .hii taaluma wanai undermine kwa makusudi kabisa
@millardayo Yeye mwenyewe anatafuta miaka ishirini kwenye ubunge wake now ,kwamba kisarawe hakuna wanaotaka hiyo nafasi ? Na posho yake ya vikao viwili vya siku mbili ndo anaona ni Sawa mtu alipwe kwa mwezi
@JamiiForums Tatizo ni kwamba mafuta huwa yanapanda na kushuka , ila hawa jamaa wa usafiri wakipandisha nauli huwa hawashushi ,kwa upande mwingine Latla wako sahihi kuzuia ongezeko la nauli kwa kuwa hichi ni kipindi cha mpito
@samhenda91003@Fikra_pevu T1 ni dar to northern south zone (mbeya)
T2 ni dar northern zone chalinze segera road (arusha )
T3 ni dar to central zone (dodoma)
T4 ni dar southern zone (lindi ,mtwara)
@MabalaMakengeza Ni kweli ata mimi leo nikianzisha taasisi yangu sitaajiri kwa kigezo cha gpa kubwa Bali uwezo binafsi maana elimu yetu janja janja nyingi sana ,tumeconcentrate na ufaulu na sio ujuzi wenyewe
Leo nikiwa njiani kutoka Iringa kuelekea Dodoma nilisimama kuwasalimu na kuzungumza na wananchi wa Mlowa, Jimbo la Mvumi, mkoani Dodoma, waliojitokeza kwa wingi kusikiliza sera na mipango ya Chama cha Mapinduzi (CCM) juu yao kwa miaka mitano ijayo.
Ninawashukuru kwa salamu, sala na dua zenu.
Mfumo wetu wa elimu ungekuwa na maslahi makubwa let say zile pesa wanazopata mps qangepata maprof,Dr's etc basi tungekuwa na walimu wazuri sana , imagine watu kama Lisu angekuwa ni mwalimu pale chuo ,angetengeneza vijana wengi sana wazuri waceheria ,but now siasa impotent wasomi
Serikali iangalie namna kuhusu haya maguta jamani ,ni hatari sana wakati wa usiku , yanaonekana kama pikipiki ni rahisi sana kuyavaa na ukizingatia Madereva wake wengi ni vijana hawana hata lesseni @Adventure_36#tanpol#wizarayamamboyandani@bashungwa