Mmenikasirikia kisa niliwauza ๐ฅฒjaman mna roho mbaya sana nyie,sasa mlitaka niuze nn ,au mlitaka niwaombe hela humu ili baadae muitumie kama silaha.
Poleni basi๐ฅน๐ฅฒ
Wa Sleepover Msisahau SOSEJI Ni Tisa, MAYAI Ni Saba, Mchana Ka Unaweza Kula Ka Kiwavi.Sasa We Kajidai Unajua Kufua Na Kuosha MABATI Majirani Wanakuchora Tu ๐คญ