@DullahTheking2 Nimekua nikikufuatilia kwa muda sana nipende kukupongeza kitu kimoja mwanangu una misimamo tangu oct 29 ulipoamua kuachana na mziki wa bongo sijawai ona ukiuongelea tena
Kuna Hii 'Kuna Mwanafunzi mmoja wa standard 3 alikuwa na tabia akitoka shuleni ile jioni anapita kwa kaka ake wa mtaani aliyekuwa akifanya kazi ya ufundi selemala yule kaka kwa upendo alikuwa anakinunulia cake Ice cream sometimes chakula kabisa cha mchana then katito kanaenda home, siku mbaya kwa kaka ile ikafika ama kweli sio wote waliojela wana makosa kile kitoto kilipita pale kazini kwa Brother kama ilivyo kawaida kika nunuliwa chakula kikala then kikaondoka sijui kilikutana na nanii? Sijui kiliokota sumu kikalamba kile kitoto masikini wa mungu kilifariki dunia🥲, kesi ilianza na yule kaka mpaka leo yule kaka sijawahi muona mtaani.
Adv hapa nini kilitokea?
KESHO, tarehe 13 Juni 2026, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mhe. @HecheJohn, atakuwa Mgeni Rasmi katika Mahafali ya CHASO Mkoa wa Iringa, yatakayofanyika kuanzia saa 2:00 asubuhi katika ukumbi wa Gentle Hill.
Baada ya mahafali hayo, Mhe. @HecheJohn atahutubia Mkutano wa Hadhara utakaofanyika kuanzia saa 8:00 mchana katika Viwanja vya Mwembetogwa, Iringa Mjini.
Wanachama, wapenzi, wafuasi na wananchi wote mnakaribishwa kujitokeza kwa wingi kushiriki katika shughuli hizi muhimu.
KESHO, tarehe 13 Juni 2026, Katibu Mkuu wa CHADEMA, Mhe. John Mnyika, atakuwa Mgeni Rasmi katika Mkutano Mkuu Maalum wa Jimbo la Kibaha Mjini, utakaofanyika kuanzia saa 2:00 asubuhi katika Ukumbi wa Mkilania.
Wanachama na viongozi wote wa Jimbo la Kibaha Mjini mnakaribishwa kujitokeza kwa wakati na kushiriki kikamilifu katika mkutano huu muhimu.