๐จ๐ง๐ท Breaking: Carlo Ancelotti call รderson to replace Wesley at the World Cup for Brazil!
Atalantaโs midfielder joins immediately and then he will sign as Manchester United new player in July. #MUFC
โ Nimejaribu Kuangalia kitu kinaitwa Club Licencing nimechanganyikiwa sijui au ni uwelewa wangu mdogo, Hivi Tanzania tayari tumeanza apply hii kitu au bado maana kuna vitu vinafanywa Sielewi.??
โ Picha Unayoiona ukisikia National-Ahly basi, ndiyo picha inayojengwa na klabu ya Yanga hivi sasa,Njia iliyopita kwa karne Ahly ndiyo njia anayopita Yanga hivi sasa, japo kinachoikwamisha ni nani atasimama na wewe mpaka mwisho wa safari hiyo uliyoanzisha.
โ Ile Unbeatable imefutwa na Watoza ushuru,Niliwahi kuzungumza mchawi wa Azam kunyanyua ubingwa ni Mechi zake za ugenini tazama anavyodharirika wakikaa kuyamaliza mechi za ugenini ametoboa kunyanyua taji la Ligi.
โ Amolin kwenye Press amefunguka kuwa yeye anatambua jinsi Yanga wanacheza, Anataka kumiliki Mpira sio kwa uchache ila kwa dakika 90 hiyo ndiyo Staili ya uchezaji wa Yanga,Amesisitiza wachezaji wake kujitoa ili kumiliki mchezo.
๐จ YANGA AND PEDRO ARE DONE.
Baada ya Taarifa kutoka Kwenye ukurasa Rasmi, Abdihamid Moalin ameshaanza kazi yake kukinoa kikosi kwenye michezo iliyosalia.
#Ukute hajafika hata Kambini ni shwaaaaa
Jkt hawatoki kwa wepesi kwenye eneo lao kwasababu hawana mchezaji atachukua mali kwa mabeki na kutembea nao Kiufupi hawana connector, wanalzimishwa na Simba kwasababu ya pressing ya simba wanaanza na wa wachezaji wanne juu
๐ฃ๏ธ Ukiitazama KMC iliyocheza na Yanga leo unajiuliza kabisa nafasi aliyopo ni kama imerogwa, Lakini unakumbuka kuwa mpira una tabia hiyo, Vile wanacheza wakiwaheshimu wapinzani, wanakaba kuziba mianya wako very Solid unajiuliza nini kilikuwa kinawasumbua hapo awali.
โ Simba Sc are imperfect under Steve Barker, sure, But his game-model is similar to Kishingo.
There is enough evidence that they can win major titles under his tutelage.
Not because he is a tactical genius, but because he gives special players balance.