Binti wakati unaendelea
👇🏼👇🏼👇🏼
-Kujiona wewe bado mzuri mda wa kuolewa bado
-Wewe bado mdogo mda wa kuolewa bado
-Wewe bado hujaona mwanaume wa type yako
-kuona kila anaekufata hana hela/Gari
-Ukiolewa kuna hela fulani utakua unakosa
Pia Pitia ISAYA 4:1 uisome vizuri uielewe.
@FeYaBoY Zaman mwanaume nilikua sioni wivu sababu mi ndo nilikua nakunja pisi kila kona. Skuizi pisi zinakunjwa kila kona mkuu.
Unakuta pisi hapo mtaani amekua kama Tamisemi yeye ni kutoa uroda kwa vijana wa kila rika na kila kundi
@aidanmponeza@Thereal_taivina Shida unakuta dereva alikimbia au boda walikua washakunywa kile cheupe.
Ni ngumu sana kureson na mob (kundi la watu)
Wao badala waangaike kuokoa maisha wanahangaika kukutia hasara wewe
@zkBaraka@Mwinshehe07 Mzee umeelewa hizo meseji zake lakini? Muhuni ashamwambia kabisa ukipata mimba nakuacha 😂
Dem likajua utani liketegesha placenta. FUCK AROUND FIND OUT (FAFO)
@EsirEid CRDB unakosea muamala unakaa wiki tatu ndo pesa inarudi
Nmb unajitumia hela system inashida subiri 72hrs za kazi
Mtandao wa bank unaweza amua tu kuwa chini na hawakupi notes before utume hela. Ni mpaka ukishatuma.
Ukitoka na laki moja manunuzi madogo 20K itaishia makato.
@DadaEstie A man that leaves didn’t wake up and decided. Most tried for so long and fought many silent battles while no one paid attention.
A man will leave the Furnace burnt beyond recognition and society will ask, why didn’t you stay and die to prove your manhood.
NB: a Man not a Boys
@Nurjan_seyd Unadhani kumwaga nje ni rahisi kama kurekebisha wigi kwenye kichwa cha pembe nne? Kumwaga nje inahitaji Composure, accuracy na skills beyond your comprehension.
Omba uwe mwanaume for one day alafu tuone kama utamwaga nje.