Katika Kanda yangu ya Magharibi inayojumuisha mkoa wa Tabora, Kigoma na Katavi (Chadema) kuna mtu ambaye anaishi Dar es Salaam lakini ni mzaliwa wa Ukumbisinganga-Kaliua mkoani Tabora (sitamtaja kwa jina leo)
Mtu huyo anafahamika kwa kwa kufanya "press" nyingi zinazoisifia serikali na kui"ponda" Chadema. Hata majuzi amefanya "Press" akimsema Makamu wa chama CDM John Heche, amepewa kandarasi ya kutafuta watu wajifanye ni viongozi wa CDM toka katika maeneo mbali mbali katika Kanda yangu kwa kuwapa pesa kidogo huku yeye amepewa pesa nyingi sana toka sehemu.
Lengo la kutafuta watu wao ambao watavalishwa nguo za chama cha CDM ni kufanya "Press" zitakazo kuwa na lengo la kuonyesha hawakubaliani na msimamo wa Kamati Kuu na Uongozi wa CDM Taifa wa sasa.
Nina taarifa kuwa leo kundi la kwanza la watu hao watafanya "Press" Tabora Mjini muda wowote kuanzia saa tano Asbh hii.
Wakati sahihi ukifika nitafanya "Press" juu ya suala kwa ushahidi. Kwa sasa nitoe tu rai kwa viongozi, wanachama wote CDM na wapenda Haki na demokrasia katika Kanda yetu waepuke kukichafua chama chetu ambacho ndio tegemeo la watanzania kwa sasa kwa nia ovu ya wanaowatafuta kufanya hivyo.
19/5/2026.
@chapanombombwi Telegram alitakiwa atulie kwanza ili ajipange aweze kutupanga vizuri, labda angeokota trust kidogo.
Lakini, sasa naona kila akigusa TL tu, anazidi kuchochola. Na raia zinatunza tu risiti.
Namba 1 akibadilika, ndiyo shida ya hii zaga itasepa na Telegram hadi akili imkae sawa.
@fbuyobe Akitoa ufafanuzi kuwa alimkopa na akataka kiasi, ndiyo itasafisha tuhuma yako ya kutaka kuwauza wanaharakati?
Ni heri ungekaa kimya kama Denge kuliko kusema na ukaendelea kuwa kama hujasema.
Hujajibu hoja nzito zinazokuweka kwenye tuhuma hizi zinazobadili kabisa historia yako.
@fbuyobe Sikutegemea kwa ukubwa wa hizi tuhuma dhidi yako, uje na maelezo ya kiwepesi hivi. Ni kama umejisukuma useme tu chochote kuliko kunyamaza kimya.
Unatumia muda mwingi kulazimisha uwepo uhusiano wa kimapenzi kwa Msuya na @HildaNewton21 ambayo sio hoja kuu kwenye tuhuma dhidi yako.
🚨 Heche akiwa Wasafi juzi kuhusu kususia uchaguzi:
🗣 Manara: Nyie kwenye uchaguzi mnataka mpewe nafasi ila mnasusia uchaguzi, mtapewaje nafasi?
🗣 Heche: Wewe ni Mwanayanga! Kuna muda mlikimbia uwanjani mkasema refa ni wa Simba. Nikuulize, siku wakasema Mangungu ni refa Yanga, mtaingiza timu uwanjani?
Hata mimi, kama ningekuwa sehemu ya mfumo wa utawala, ningelazimika kufanya “spinning” ili kubadilisha mwelekeo wa mjadala kuhusu mazungumzo ya Chakwera na Mwenyekiti Lissu. Ambayo ni heshima kwa Mwenyekiti Lissu.
Kitendo cha Commonwealth kuamua kwenda kumuona Mwenyekiti Lissu gerezani ni ishara yenye uzito mkubwa. Kinaonyesha wazi kuwa Lissu haonekani kama mhalifu wa makosa ya jinai ya kawaida, bali suala lake lina sura ya kisiasa zaidi. Kwa kawaida, si rahisi kwa taasisi ya kimataifa kama Commonwealth kuingia kwenye mazungumzo ya aina hiyo kama mhusika angechukuliwa kama mtuhumiwa wa makosa ya jinai ya moja kwa moja.
Katika muktadha huo, hili lilikuwa pigo kubwa kwa Serikali. Ili kupunguza athari na kulinda taswira yao, ilikuwa lazima kutafuta ajenda mbadala ya kushika mjadala wa umma na kubadili mwelekeo wa mazungumzo.
Ndipo tunaona juhudi za ku-highlight zaidi kauli tata za Project ya Kisabo kupitia vyombo vya habari vinavyoegemea upande wa serikali pamoja na wapambe wao mitandaoni. Lengo likiwa ni “kubalance” presha ya kisiasa na kufifisha mjadala mkuu uliokuwa unaibuka wa, “ Commonwealth yamfuata Lissu gerezani”
Raha ya Wanachadema i wazi. Waliowwnyima Watanzania haki yao ya kujumuika na kufanya siasa ni maadui wakubwa wa Taifa letu na hawastahili kuwa katika utumishi wa umma. Kama ni Jaji usiyejua kuwa unabanwa na Maamuzi ya Mahakama ya Rufaa iliyosema huwezi kuweka zuio kwa shughuli za siasa kwani ni haki ya kikatiba sasa unaendeleaje kuwa Jaji! Hilo linaeleweka kwa kila mwanasheria yeyote nchini. Sasa ilikuwaje likakiukwa? Hapa ajenda ovu ya kuhakikisha mgombea wa Chama Cha Mamumiani anafanya kampeni bila ushindani ilikuwa kazini. Hili hatutalifumbia macho na tutadai uwajibishwaji.
https://t.co/9wWThlVpaf
Tundu Lissu ambaye yupo ndani ya kuta za gereza Ukonga asingeweza kwa njia yoyote ile kumtafuta Dr. Chakwera
Kwa hiyo hapa hoja ya nani alimtafuta mwenzake it’s obvious ni Chakwera ndiye aliyemtafuta Lissu ama kwa maelekezo, au utashi binafsi.
Kauli ya Lissu “Nipo tayari kwa mazungumzo nikiwa huru”
Kwa wasioelewa hii ni lugha yangu kisheria kuhusu makubaliano.
Makubaliano yanayotambulika kuwa halali kisheria ni yale yanayofanyika under FREE and genuine consent. Neno FREE hapo linasimama likimaanisha FREE from COHESION or UNDUE INFLUENCE
Lissu anaamaanisha kuwa, kwa yeyote anayetaka kuzungumza na yeye kuhusu lolote, asifanye hivyo wakati Lissu kwa kutumia ukosefu wa Uhuru wa Lissu kama UNDUE INFLUENCE kuchagiza maamuzi yake.
Kwa hiyo kwa ambao hamjaelewa, Lissu bado amekaza kutuuza kwa mazungumzo yenye ushawishi wa kumpa Uhuru.
Lissu anataka UHURU KWANZA ndipo umpelekee hoja mezani aamue kukubali au kutokubali akiwa HURU.
Lissu hajataka akatokee Ikulu.
Anataka atokee kwenye malango ya Ukonga. Sio kwa huruma, bali on merit either kwa serikali kufuta kesi yake yenyewe ambayo mpaka sasa wameipakisha basi kwa Pilato bila sababu, au hukumu ya NOT GUILTY.
Nimeona mnajimu mmoja wa mizimu anatafsiri tofauti ikabidi niweke sawa.
Yours,
The Hoofman
🚨🚨🎙️| Michael Carrick asked if Casemiro could stay at Manchester United:
"I think in some ways it's difficult to say, I think it's when something's decided, and in some ways the fact that it was decided makes things a little bit easier, and everyone understands the situation really.
"I think the impact he’s had has been terrific, certainly since I've been here and working with him and his influence within the team and big moments and goals.
"It was a nice moment at the end there with the supporters and having that connection, and the respect. That was a nice moment. I think he'll enjoy that one."
🚨🗣️ Bruno Fernandes on Casemiro: “I saw that picture of assisting him and I sent him straight away, I think he has 7 goals now, and 5 times was me.
“I told him he should give me a SHARE of his goal bonuses. He told me I should give him a bonus because I'm getting assists. I have a very good connection with him, he's someone who moves around a lot.
“In the first half he told me he wanted the ball ahead of the first zone, when I got the corner in the second half I told him where I was going to put the ball. He moves into the right place. And his timing was perfect”. #MUFC
🚨🗣️Wayne Rooney on Manchester United Vs Aston Villa;
“If I’m Aston Villa, I’m asking why we’re even travelling to Old Trafford.
Manchester United have an in-form Benjamin Šeško, and the attack generally is good— that’s already a nightmare for defenders.
Some games you go to compete… this one just feels like turning up to collect a loss.”
Michael Carrick is the first manager in Manchester United history to win his first six home games in the Premier League. 🔥
🏟️ Old Trafford results:
✅ 3–1 vs Aston Villa
✅ 2–1 vs Crystal Palace
✅ 2–0 vs Tottenham Hotspur
✅ 3–2 vs Fulham
✅ 2–0 vs Manchester City
✅ 3–2 vs Arsenal (2021/22)
Tangu Mwenyekiti wetu akamatwe mwezi wa nne,
Leo ni miezi 11.
Watanzania wanajua na Dunia inajua kwamba Lissu hajafanya kosa, kesi hii ni ya uongo kwaajili ya kulinda Utawala usio na ridhaa, kutishia watu na kutaka tusitimize wajibu wetu kama chama kikuu cha siasa Tanzania.
Tangu mwezi wa 10 mwaka 2025, Mwenyekiti alikaa Magereza kwa zaidi ya miezi minne bila kesi kuendelea huku akiteseka bila sababu yoyote.
Tunajua hii kesi imefunguliwa kumtesa kiongozi wetu ili abadili msimamo wake kuhusu mambo ya Nchi yetu… kuhusu ufisadi wa serikali ya Samia , mauaji, utekaji, wizi wa mali za umma, maisha mabovu na uchumi wa hovyo kwa watu wetu… Tunajua anateswa kwasababu yetu Watanzania.
Rufaa ya juzi kwa mambo yasikatiwa rufaa ni ushahidi mwingine kwamba hakuna kesi bali kumpotezea Mwenyekiti muda wake na kumtesa..
Huu ni mwezi sasa Mahakama iko kimya, tunajiuliza kesi yenye uzito kama huu kwa mtu ambae amekaa ndani mda wote huu.. inakuaje mahakama isione urgency kwenye jambo hili..
Mahakama iliyotegemewa kutoa haki na kumaliza jambo hili kwa haraka, inapokaa kimya kunakua na mashaka makubwa..
Sisi hatuwezi kuendelea kunyamazia suala hili.
Tunataka huu uhuni ukome haraka , Mwenyekiti wetu aachiwe arudi kufanya wajibu wake.
Wanachama wetu na Watanzania hawataendelea kukalia kimya uonevu wa wazi kwa mtu asiye na hatia.
DPP alimfungulia kesi ya UCHOCHEZI Askofu @MachumuKadutu kwa kusema kwamba, "Mungu ameongea nami kuwa Samia hakubaliki kabisa na wananchi". Lissu akamtaka DPP amlete Mungu mahakamani ili ATHIBITISHE kuwa hakuongea na Askofu. DPP akaona isiwe shida, ikabidi AFUTE hilo kosa. 😂
Asante kaka @HecheJohn 🤣🔥
Mambo ya ku clarify vitu vilivyo obvious mtu hatakiwi kuleta longolongo
Ila kwa kifupi wazushi kama jasusi pori na kichaa wa milembe wajiandae kulia maana mission accomplished 👊🏽💥
Sasa imebaki #FreeTunduLissu na waache ujinga wa kusakama CHADEMA - washenzi waingie ulingoni kushindana kwa hoja!
Sisi wananchi tupo hapa na tutawasapoti wanasiasa wapambanaji - hatupangwingi!
#TutaelewanaTu
Ndunguru na majaji wenzake wanaonekana kuwa waangalifu: wameteta kwa muda mrefu na wataamua kesho kuhusu notice ya ushahidi wa ziada (kif. 308 CPA).
Vyanzo (AP, BBC Swahili, East African, The Chanzo, Citizen): Kesi inaendelea polepole, mashahidi wa serikali wamekabiliwa na cross-exam kali na Lissu, wengine wamekiri mapungufu ya kisheria na ushahidi. Upande wa ulinzi unaona ni mabadiliko ya shtaka; serikali inasema ni taratibu za kawaida.
Mwelekeo: Kisheria na taratibu, si haraka. Uamuzi wa kesho utaweka mwelekeo zaidi.