Enzi zile ilikuwa ni kheri usiandike notes za mwalimu huo muda uutumie kulisoma fema.
Lilikuwa jarida lenye ladha fulani adimu kwa wanafunzi.
Mastory ya mpendwa anti yalitujenga sana kiukuaji na mastory ya watu maarufu mbalimbali yalinogesha sana hili jarida🔥🔥🔥