@Poverty1000@yonahsuperg@abusumayyah_o Misingi hamna na pia hamna hoja, ndio maana inapotokea ftna mnakuwa na kauli nyingi mno. Ukweli upo katika kifua chako na unaujua.
@JohnNgutiCDM Kujibu maneno yako yaliyojaa Kejeli, Waislamu wameelewa agenda zenu na wamezikataa na uzuri na tunamhimidi Mola wenu kukataa kwetu kumeegemezwa na Dalili za Dini yetu kwamba Kuandamana sio jambo sahihi la kudai haki.
@JohnNgutiCDM Huu ndio mfano wa wale wanaojiita viongozi? Ambao wanajifanya kuzungumza kwa niaba ya wananchi? msilazimishe kuwa kile unachokiona wewe ni sawa kila mtu aone sawa, Kwani huu ndio mnaouita uhuru wa maoni. Uislamu umejengwa katika misingi wala sio matamanio ya nafsi yako.
@afrosafari99190@abusumayyah_o Wachina wao ni kina nani kwetu na msaada wao na dini hii ni upi? Wao wakiukubali uislamu uislam itaongeza nini kwa uislamu au wao wakiukataa uislamu itapunguza nini katika dini? Ukiwa unaongea weka hoja za kielimu.
@KhalidWaid94084@abusumayyah_o Hii sio kashfa elewa neno na maana ya kashfa kabla ya kuitumia ndugu yetu mbora! Huu ni ukweli na hoja juu yao baada ya wao kukejeli upande wetu! Kama wanayomajibu ya hoja hii wajibu
@Poverty1000@yonahsuperg@abusumayyah_o Tukumbushe sehemu ambapo muislam na mkiristo walishawahi kukaa kuongea kwa hoja Mkiristo akamshinda muislam kwa hoja katika dunia hii.
@yonahsuperg@abusumayyah_o Swali kwako wewe muongeaji bila ya kufikiria nini umekihifadhi katika akili yako ambacho kinahusu dini yako? Elewa kuhifadhi ndani ya bongo bila kuangalia kokote. Ukija upande wa huyu ambae unamcheka kwanza kahifadhi maneno 77,430. Dunia imewadanganya na mmedanganyokika.
@KenyanSays Kwa wewe ambae huijui tanzania, ni kawaida kwa watanzania waishio miji mashuhuri kama Dar Arusha N.k kurudi mikoani walipozaliwa au asili yao. Usitengeneze attention zisizo na msingi.
@LarryMadowo wakiishi katika mataifa yao kwa amani na upendo?”
Kwa wenye uelewa mpana, tunajua ukweli kwamba vyombo hivi havisimami kwa ajili ya haki wala kubainisha ukweli. Badala yake, mmekuwa mkipendelea kuficha sauti za wanyonge na kuwatangaza wale wanaowalipa vyema katika dunia hii.
@LarryMadowo Kwanini watu wa aina yenu pamoja na vyombo vya habari vya aina yenu hamthubutu kuingia na kuonyesha wazi madhila, dhuluma na maafa yanayowakumba watu wa Gaza, Sudan na mataifa mengine yenye mateso kama hayo?
Kwanini mmeshughulika zaidi kuamsha hisia potofu kwa vijana waliokuwa…
We are extremely thrilled to announce our Reforming Generations 2024 Speakers.
Sheikh Assim Al Hakeem from Saudia Arabia.
Sheikh Wasim Kempson from UK
Sheikh Abdullah Bihi from USA
Sheikh Shahid Muhammad from Tanzania.
Every detail you need to know about Tickets.
⚡️update alert time 🥳
Allow us to announce our third esteemed speaker for the 2024 International Conference on Reforming Generations!
Proud to announce Sheikh Shahid Muhammad from Tanzania.
Stay tuned for more updates and inspiration! 🌍✨
Reforming Generations 2024