“Dunia imenufaika vipi na Mtume Muhammad ﷺ ambaye ndio kiigizo chetu.
Mtume ﷺ amekuja na ujumbe ambao unalingania watu kuwa na tabia njema..Na huu ndio Uislamu. ”
Sheikh Shahid Muhammad
1. Tuwalee watoto wetu katika misingi sahihi ya Uislamu.
2. Tuwahamasishe na kuwasisitize watoto katika Ibada
3. Tuwafundishe watoto wetu historia ya Uislamu
4. Tuwahami watoto wetu na kizazi chetu kutokana na tabia mbaya
Sheikh Shahid Muhammad | #ReformingGenerations2024
Certificates of appreciation to Reforming Generations 2024 Volunteers.
We thank each and every Volunteer who dedicated their time, effort and finances to making Reforming Generations happen and succeed.
May Allah Bless each and every one of you.❤️🤍
Ametukumbusha kuwa Nia ni sehemu muhimu sana katika kuliendea jambo lolote la Dini na Allah hulipa watu kwa nia zao. Akatukumbusha Khadithi ya kwanza kutoka Arba’een ya Imaam Nawawi Rahmatullahi Alayh. إِنَّمَا الْأَعْمَالُ بِالنِّيَّات
Leo tumekuwa na fursa ya kufanya kikao cha Volunteers walioshiriki katika Kongamano la Reforming Generations 2024.
Mgeni wetu alikuwa Sheikh Abdallah Al-Ahdal ambaye ametoa nasaha kwetu sote hasa katika eneo kubwa la Nia katika kufanya mambo ya Khairat.
“Mtume Muhammad ﷺ amewatoa watu katika kiza watu wakaanza kujielewa.
Akawatoa katika hali ya kuwa wako nyuma hawajui Dunia inakwendaje mtu anaishi vile anavyotaka, wakawa ni watu wenye kupigiwa mfano.”
- Sheikh Shahid Muhammad
“Aliwezaje Mtume Muhammad ﷺ kubadilisha mwelekeo wa Ulimwengu kwa kipindi kifupi?”
Mabadiliko yalianza kwanza katika Nafsi. Mtume Muhammad ﷺ akazitengeneza nafsi za Maswahaba . Kisha watu hao waliandaliwa vizuri wakafanya mabadiliko katika jamii.”
- Sheikh Shahid Muhammad.
“Bi maana wanafanya watu Kongamano kama mithli hii na Masheikh wanamleta kutoka mbali ili awafikishie ujumbe kwa vijana nyinyi mjue Dini yenu.”
📍 Sheikh AbdulQadir Al-Ahdal
#ReformingGenerations2024
During Reforming Generations we had five speakers.
SPEAKERS:
1. Sheikh Assim Al Hakeem
2. Sheikh Shahid Muhammad
3. Sheikh Wasim Kempson
4. Sheikh Abdullahi Bihi
5. Sheikh Jamaludin Osman
Can you give us two quotations from any of the speakers during the Conference?