@Elsukay0 ๐ผDunia yote wanaelewa kwamba sisi waafrika hizi dini tumeletewa๐ต
Na babu zetu wallopinga wote waliuawa kinyama๐ถ
Waliotuletea dini ndio waliotuuza utumwani๐ผ
Jiulize kwa nini hizi dini hakuna mtume wala nabii mweusi tii kama mimi ๐ต@LucasOdero8@JabirSaleh
@kasesco_tz ๐ถRoho yangu ni ngumu yaani ngumu zaidi ya paka
Upeo wangu wa akili umeshavuka mbingu ya saba๐ต
fanyeni mfanyavyo lakini msisahau ibada
huwezi kula kwa macho ni lazima vitendo baba๐ผ
@LucasOdero8 hip hop ni shule
@VungaEl74@mpenda_TANZANIA Yaap alikua Abuu bin malik mfalme wa shamu wakati huo ,kwa urahisi zaid ingia YouTube search kisa cha Abuu Jahar simulation Dr Sule
@zoetjesheeftX Salum Oswald Kamtaule co ushirikina wala nini mwamba ni mtu wa kujimix ila mtata balaa ,keshawahi kutupiga chips yai buc zma alifurahi chuma ilikua imetoka Mtwara kwenda dom abiria wa moja kwa moja! Fahari ya kusini ๐ฅ
@mTusiOriginal Kwetu ukitoka (polic/Ajali)unaekewa chumvi ya mawe kwenye kizngiti cha mlango unakanyaga kisha unaingia ndani na utalala chin kwny majani ya mgomba cku 3