Ghafla una miaka 25. Unaamka asubuhi, unatengeneza chai yako, unajiandaa kwenda kazini. Unarudi nyumbani saa 12 au saa 1 jioni, umechoka kiasi kwamba unachoweza ni kupika kidogo, kuchezea simu, halafu kulala. Kesho unaamka, unarudia tena mzunguko ule ule.
THREAD ๐งต
@_21megatron@hadithimswahili Labda naweza nisiwe najua kwakweli.. Ila najua Block 1, 2 na 3 Huwa havina milango yapo kama mabweni hivi halafu Block 4 na 5 ni vyumba vidogo kuna decker mbili na meza.. Hicho chumba ni kikubwa sana labda Kuna block ipo hivo na mimi sifahamu ndugu..