Kuna hii website nimekutana nayo mtandaoni inaitwa Class Central.
https://t.co/u3P7LNZnm1
Kuna kozi 100,000+ za bure unazoweza kujifunza vitu mbalimbali.
App/Webs 10 ambazo nimewahi kuzitumia kwenye kujipatia kipato kwa namna moja au nyingine.
1.Upwork: imewahi kunitengenezea $ kadhaa kwa kuwaelekeza watu kuhusu Venture Capital
2.Instagram; Imewahi kunitengenezea $ kadhaa kwa kuwasaidia watu kuweka location on Google map na kuset insta sponsored ad
3.Docu sign; Ilinisaidia kusign contract ya $ kadhaa na investor ambae hatukuwahi kuonana.
4.Stripe Atlas; Ilinisaidia Kusajili kampuni 🇺🇸 Japokuwa Sijawahi Kufika Marekani.
5.Brex; Ilinisaidia Kupokea $ kadhaa kwa investor ambae alisema lazima aweke $ kwenye 🇺🇸 Bank account
6.Zoom; Ilinisaidia Kufanya online meetings na pitches za maokoto
7.Beacon Ai; Ilinisaidia kustore na kupresent baadhi ya digital works zangu.
8.Miro; Ilinisaidia kubrainstorm na kupangilia business ideas
9. Chat GPT; Ilinisaidia Kupangilia Hoja zangu kwa wateja
10.Listy; ilinisaidia kutunza bookmarks zangu zote za muhimu. Muda wowote online nikikutana na kitu na nikahisi nitahitaji kukipitia baadae huwa natuma na kusave link kwenye listy app.
Kama wewe ni creator na unatamani kupata Canva premium bila kulipia, basi fata hizi hatua hapa chini
→ Follow me
→Like na Repost
→Comment " CANVA PRO"
→ DM me " Done"
PS: Hakikisha umefata hatua zote bila kuruka, baada ya hapo ntakutumia DM kwako link ya hii docs
Link za Bure na Courses Kwenye Google Drive, Jifunze ⤵️
-Data Analytics
-Business Analysis
-Data Visualization
-SQL
-Big Data
-Resume tips
-Project Mgt
-Product Mgt
-Software Eng
-UI/UX Design
-Interview tips and tricks
Link⤵️
Interested in studying in the U.S.? Check out the upcoming EducationUSA informational sessions. This month we offer a mix of both virtual and in-person sessions. All in person sessions will be at the American Corner located downtown Posta, inside the National Museum. All virtual sessions are stated in the schedule can be joined with the link in bio. We will be sharing all you need to know about pursuing higher education study in the U.S, be sure to check us out. Karibuni sana!
#EducationUSA #StudyWithUs
Unataka kuanza CPA marketing lakini huna hela ya kulipia ads?
Nimekuletea njia itakayo kusaidia kutumia TikTok, Facebook & Google ads bila kutumia hata shilingi yako kwenye ads
Hii ndiyo njia ambayo ningetamani kuipata miaka 5 nyuma..
Ila nakuonesha hapa free👇
Nilipokuwa lockup Osterbay, sero ya pembeni yangu kulikuwa na wasichana wengi wadogo wa kike walikuwa wanaomba na kuimba.Nafikiri waliimba na kuomba usiku kucha na asubuhi pia. Nami nikajikuta nasema moyoni , hata kama Mungu yuko busy sana huko aliko , lakini nina uhakika kuwa haya maombi ya hawa watoto atakuwa ameyasikia. Nafikiri sijawahi kufikiri kuwa kuna watu wanaweza kuomba muda mrefu hivyo , nami nikakumbuka neno hili “
2 Mambo Ya Nyakati 7:14
“ ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao”
Hichi kipindi Kuna watu wengi sana wana stream YouTube na TikTok wakicheza games mbalimbali kama efootball, ghost of yotei, COD nk
Lakini unafahamu Kuna platform wanazolipa vizuri kwa kucheza games mpaka $20/hr?
Pia Kuna kazi nyingine nyingi tu unaweza unafanya hapo
Thread ✍️
May we also #PrayTogether for #Tanzania, where, following the recent elections, violent clashes have broken out, leaving many victims. I urge everyone to avoid all forms of violence and to follow the path of dialogue.
Platform ile ya kwanza watu wengi walikua wanapata shida ya namba ya US na UK ili kufanya verification za akaunti zao
Lakini hizi platform tatu huhitaji namba ya USA, proxy au VPN ili kupata walau $20 yako
Kila kitu ni bure ni wewe na bando lako tu
Thread 🧵
Hii ndio itakua platform yako ya kwanza kama hujawahi kutengeneza $5 mtandaoni
Ni platform ina task nyingi na minimum ni $1.3+ na hii ni zaidi ya ile heypiggy
Lakini ili kulipwa lazima uwe na PayPal, kama huna nitakuelekeza kutengeneza
Repost & comment " DISCORD" chap chap