Ukweli kabisa Nilikuwa simjui kabisa “MIKA CHAVALA”, leo nimetenga siku nzima kumfuatilia.
Nimemaliza kwa kuangalia interview yake aliyofanya na SKY (Sns) miaka mitatu Nyuma. Kiufupi sana naweza kusema tuna serikali ya KIPUMBAVU SANA.
Unampa Kijana mdogo kama Chavala kesi ya UHAINI ambayo hukumu yake ni KUNYONGWA MPAKA KUFA — kijana mwenye maono makubwa hivi kwa Africa?
#FreeMikaChavala
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎