HOSSANA MACHEO:-:MAZUNGUMZO:- #tbt
Zamani heshima kwa wazee au wanaokuzidi umri ilikuwa ya hali ya juu ambapo kijana hangekaa kitini mzee akisimama tofauti na ilivyo sasa. Je mambo yalibadilikia wapi na je tukubali hali au tubadilisheaje?
#HossanaMacheo@BHusema@VictormandalaMC
HOSSANA MACHEO:-
Ni ombi langu kwamba Mungu akupe ujasiri katika yote unayokumbana nayo
Mithali 28:1
Mtu mwovu hukimbia ingawa hakuna yeyote anayemfukuza, bali wenye haki ni wajasiri kama simba
https://t.co/y6GN1kzLoV
#HossanaMacheo#Himizo@BHusema@VictormandalaMC
HOSSANA MACHEO:-
Happy New week, ...Isaya 43:2... "Upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe; na katika mito, haitakugharikisha; uendapo katika moto, hutateketea; wala mwali wa moto hautakuunguza..."
https://t.co/JLvqhBhtWE
#HossanaMacheo#Himizo@BHusema@VictormandalaMC
HOSSANA MACHEO:-
Usijisumbue sana kuhusu kesho yako maana Mungu anakuandalia mema
Mathayo 6:34
Basi, msiwe na wasiwasi juu ya kesho; kesho inayo yake. Matatizo ya siku moja yanawatosheni kwa siku hiyo
https://t.co/Wqiao8Zc4j
#HossanaMacheo#Himizo@BHusema@VictormandalaMC
Good morning and praise the Lord
Come let's worship our maker;he is faithful to his promises!
Great is thy faithfulness oh Lord!
#MwambaWaBaraka@RadioTaifaFM@DorahManya
HOSSANA MACHEO:-
Ni ombi langu asubuhi ya leo kuwa Mungu akupiganie vita vyote unavyokumbana navyo kwa jina la Yesu Kristo
Kutoka 14:14
Mwenyezi-Mungu atawapigania; nyinyi mnachotakiwa kufanya ni kutulia tu
https://t.co/w8bOW06V37
#HossanaMacheo#Himizo@BHusema@VictormandalaMC
How long have you waited for your miracle? Definitely not as long as Sarah and Abraham...
Hata kama itachukua muda Bwana atatenda!
Karibu kwa ibaada ya #MwambaWaBaraka@RadioTaifaFM@DorahManya
HOSSANA MACHEO
Mungu yu pamoja nawe, usiogope; Yoshua 1:9
Kumbuka kuwa mimi nimekuamuru uwe imara na hodari.Usiogope wala usifadhaike kwa kuwa mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, niko pamoja nawe popote uendapo
https://t.co/GTQyAj6IJU
#HossanaMacheo#Himizo@BHusema@VictormandalaMC