Good morning 🌞
Dunia ya sasa imebadilika sana. Zamani subira peke yake ilitosha, leo lazima iende sambamba na juhudi. Elimu ni muhimu, ndiyo, lakini maarifa bila vitendo ni kama mbegu bila maji. Usiogope kuanza chini, kila aliyefika juu alianza mahali fulani pasipoonekana.
@Sativa255 Kibaraka mkubwa kuna siku watakudampo tuu mbwa wewe unatumika kuiaribu nnchi unazan watanzania wa sasa ni wale tena tumewastikia kenge maji nyie
@YerickoNyerereT Zitawatokea puan mbwa hawa wamewadanganya vijana wetu kuaribu nchi yao alafu wao wamekimbia kwanza serikali ichunguze vizuri uenda wao ndio wanamtandao wa utekaaji