@_ginimbi Eti alikuwa na uchungu na chadema saiv ndo amekaa kimya. Ila Dah najutaga sana nlijuaga tuna mtu mwamba mbowe πkumbe alikuwa amefanya chadema kama chama chake na aende tu chauma sisi hiki chama hakifi Gen Z wote tupo na Lissu na Heche hata muondoke wote . Jamaa Amesaliti ukomboz
@YerickoNyerereT Alafu uko huru post chochote usijistukie tushakujua wala hatuumii na post zako sikuiz tunajua namna ya kuishi na mnafiki saiv, tulijuaga unaakili tunatamani uamshe zako uondoke chadema na hata ukibaki hauna impact kaka. Sisi vijana wa sasa tunaingia kutetea haki zetu we uza vitab