@TwevePauLo@ThomasMussa5 Kwa darasani hayaondoi vumbi wala sumu mwilini hila huku kitaa yanaondoa sana tu aliyekunywa na asiyekunywa majibu yanakuwa chapu tu utaona asiyekunywa asubuhi kaja anavuta kamasi aliyekunywa anadunda tu mtuache na maziwa yetu