Anayejifanya anakupenda sana, ni kwasababu una mtu.
Sasa wewe jichanganye uharibu mahusiano yako ukidhani atakupenda zaidi au atakuoa. Watu wako kimkakati. Utashangaa kote bilabila. Tunza chako. Kelele za mafisi zisikudanganye. Utaishia kuwa mzoga!
#GYPSY#KataaWahuni
Kipimo cha wema wako ni kile kiwango cha ubaya na ushenzi ambacho kipo ndani yako na hujawahi kukitumia kabisa...
ukweli ni kwamba washenzi msifikirie eti nyie tu ndio manyang'au peke yenu binadamu wote tuna nusu ya uwema na nusu ya ubaya,
sema tu tumechagua kutumia upande mmoja!
hakuna maisha rahisi tunaumia na kutaabika sana ila cha kushangaza wakati wa shida ni wa pekeako wakati wa raha ni wa kila mtu. Cha msingi ni kusema ALHAMDULLILAH🙏🏾🙏🏾
Mbali na yote kuna tusopenda kuongea sana jaman tunaptia changanoto mpaka malaika wanashangaa DUNIA SIO YETU tuendelee kuombeana tusione tunacheka tuna MENTAL HEALTHY HIGH LEVEL PROBLEMS
Duniani hapa tunavuta pumzi ya
bure ila kila mtu anapitia
changamoto heavy tunajkaza sana
QMMK ipo siku tunaweza ongea
UNSPOCKABLE THINGS
tunahangaika sana matabasamu ya mitandaoni yasikudanganye people are Suffering way far Bad kuliko
ujuavyo.
If you want to get a bad name, you don't have to do anything bad. All you have to do is help an ungrateful person ten times and say no to them the eleventh time.
They will forget the ten times you helped them and spoil your name because of the one time you said no!
Kwenye maisha ni hekima kubwa kufahamu nani wa kudeal naye na nani wa kumwacha dunia ideal naye. Kuna watu ukijifanya unadeal nao na wao wanafurahia kudeal nawewe. Unapoteza muda na nguvu. Kuna watu wanautamani ujinga, na wanatamani uwe mjinga mwenzao. Chunga sana #GYPSY