@privaldinho@Caamil8 kwenye medani za kimataifa hamna pa kuficha sura zenu. kocha wenu anasema ligi yetu haina upinzani lakini hajaambiwa ukweli. ligi yetu ina timu angalau 6 zinafadhiliwa na mfadhili wenu. madhara yake ni haya: mkipewa mtihani wa kweli kama mlopewa juzi na MC Alger mnapoteana.