Tuliachana na counterfeit alcohol tukaanza kukunywa chai, kidogo hivi eti kuna milk shortage, tukaamua kukunywa kahawa wanarudisha waburundi kwao Life has no balance
Tuliachana na counterfeit alcohol tukaanza kukunywa chai, kidogo hivi eti kuna milk shortage, tukaamua kukunywa kahawa wanarudisha waburundi kwao Life has no balance
Niaje mzee! Hii ni sitori moja ya msee anaitwa Brayo alijipata kwa ngori baada ya kujifanya yeye ni "mzae wa mtaa."Siku Brayo Alikula "Block" ya Moti Brayo alikuwa amejipanga mbaya sana siku ya Sato.
Brayo akashuka haraka kuangalia shida ni nini, huku jasho ikianza kumtoka chini ya miwani. Kufika mbele ya gari, akapata kuna ma-chali wa mtaa walikuwa wameweka ma-mawe makubwa sana (blocks) chini ya taya zote nne! Juu walijua yeye si wa hapo na alikuwa analeta maringo.
Masaa ya kuondoka ikafika. Brayo na Shiko wakatoka inje huku Brayo akichezesha kofia ya gari mkononi ndio majirani waone. Wanaingia kwa gari, Brayo anapiga ufunguo vroom vroom! Gari inawaka, lakini kuweka gia na kukanyaga mafuta, moti haisongi. Inatoa tu sauti lakini imekwama
The most unlucky team ever? ☹️💔
🇺🇸🇲🇽🇨🇦 2026: Eliminated on penalties ❌
🇶🇦 2022: Eliminated on penalties ❌
🇷🇺 ̶2̶0̶1̶8̶:̶ ̶N̶o̶t̶ ̶q̶u̶a̶l̶i̶f̶i̶e̶d̶ ̶
🇧🇷 2014: Eliminated on penalties ❌
🇿🇦 2010: Eliminated in the final after extra time ❌
Germany in major competitions since winning the World Cup in 2014:
Euro 2016 - Out in semifinals ❌
World Cup 2018 - Group stage exit ❌
Euro 2020 - Out in round of 16 ❌
World Cup 2022 - Group stage exit ❌
Euro 2024 - Out in quarterfinals ❌
World Cup 2026 - Out in round of 32