Ni KMC au APR?
Nani kumaliza mshindi wa tatu Kagame Cup 2025? π₯
Kuanzia saa 6 Mchana
π Mkapa Stadium β Dar es Salaam
LIVE ποΈ kupitia Times FM β Radio yako ya michezo siku nzima
Gusa π» 100.5 DSM | 95.3 Mbeya | 101.3 Dodoma
#KagameCup2025#TimesFM#GusaUnase#APR#KMC
Soka La Ulaya Lipo Hapa! π₯β½
Unasema? PREMIER LEAGUE LIVE #SikuYaBoli
π Kila Jumamosi & Jumapili
β° Saa 3 Asubuhi β Saa 3 Usiku
Ni Times FM β Radio yako ya michezo siku nzima ποΈ
π Gusa π» 100.5 DSM | 95.3 Mbeya | 101.3 Dodoma
#PremierLeague#EPL#TimesFM#GusaUnase#England
Msemaji wa @singidablackstars anakuja kukaa kwenye Benchi La UfundiποΈ Kuangalia mkakati na maelezo kuelekea Nusu Fainali ya CECAFA x BETIKA Kagame Cup 2025. Gusa π» 100.5 DSM | 95.3 Mbeya | 101.3 Dodoma #TimesFM#GusaUnase#SikuYaMwananchi#YangaDay#BenchiLaUfundi
Unasemaje kuhusu burudani ya simba day jana.
Mbosso? Chino? Joh Makini?
Andika maoni yako kwenye Comments yatasomwa LIVE ndani ya
#Lifestyle
Gusa π»
100.5 DSM | 95.3 Mbeya | 101.3 Dodoma
Song Credit : @chino_kidd7 @mdogosajenttz
#TimesFM#GusaUnase#Simbaday
Baada ya kumalizana na viongozi wa matawi ya Simba kutoka Mwanza sasa ni zamu ya watoto wa Jangwani kutoka Tawi la Gerezani Kariakoo.
Wanakuja kupiga za kichwa π¨π
ποΈ Sikiliza Vuvuzela ya leo saa 10:00 jioni hadi saa 1:00 usiku,
ndani ya Times FM β Kipindi bora cha mashabiki!
Neno moja kwa semaji la CAF @ahmed__ally
Unabisha ulikuwepo?
Kama ulikosa leo tunakupitisha kwenye kila tukio.
Gusa π»
100.5 DSM | 95.3 Mbeya | 101.3 Dodoma
#TimesFM#GusaUnase#Simbaday
π₯ Nusu Fainali za CECAFA Kagame Cup 2025 zimekamilika! π₯
Singida Black Stars, Al Hilal SC, APR FC na KMC FC wamefuzu baada ya moto hatua ya makundi. β½
Gusa π»
100.5 DSM | 95.3 Mbeya | 101.3 Dodoma
#CECAFAKagameCup2025#TimesFM#GusaUnase#CECAFAXBETIKA
β½ Al Hilal FC yaikanda Kator FC bila huruma!
Ushindi wa 3β1 mchana kweupe leo KMC Stadium. π₯
Burudani ilikuwa ya kutosha dimbaniβ¦
TIMES FM tulikuwa LIVE ποΈ kila dakika kukuletea matukio yote.
Chakufanya ni Gusa π»
100.5 DSM | 95.3 Mbeya | 101.3 Dodoma
Leo ni #SimbaDayβ¦ Muda mfupi ujao tutakuwa na King Kibaden! π₯
Atatupa uchambuzi mzito ndani ya Benchi la Ufundi
β° Saa 3 Asubuhi β Saa 7 Mchana
Usikose kabisa! Times Fm LIVE ποΈ
Gusa π» 100.5 DSM | 95.3 Mbeya | 101.3 Dodoma
#TimesFM#GusaUnase#RadioYaMayanki#BenchiLaUfundi
LITAKUFA JITU! π₯
Hakuna Matata, Hakuna Utata β ni mibungi hatari ya kesho!
Gen. Isamuhyo Stadium
Saa 9 Mchana: Mogadishu City Club vs Al Ahly Wad Madani
KMC Stadium
Saa 9 Mchana: Al Hilal FC vs Kator FC
Free Entry β Hakuna Kiingilio!
Mambo kwa Ushahidi jana Kagame Cup 2025! β½
Burudani kila kona yaani ndani na nje ya uwanjaβ¦ π₯
kumbuka Free Entry - Hakuna Kiingilio!π₯π₯π₯
Usibandukeβ¦ Gusa π»
100.5 DSM | 95.3 Mbeya | 101.3 Dodoma
#CECAFAKagameCup2025#TimesFM#GusaUnase#CECAFAXBETIKA
KMC STADIUM PATA WAKA MOTO LEO!
Ni kuanzia Saa 7 Mchana kushuhudia mtanange kati ya Al Ahly SC Wad Madani FC na Al Hilal FC
na Baadae saa 10 jioni wanakiputa M.C.C FC na Kator FC dimbani hapo hapo bandika bandua.
#GusaUnase#CECAFAXBETIKA