@Ntwhali Bora uwe na 40+ unaweza sema alishachagua maisha yake hana shida na hizo vitu...
Sasa 20's na huna kuna namna tu wewe ni mbabaishaji hauko serious.
@amprincess9 Kimsingi tajiri hawezi kuwa na chuki na masikini maana sisi ndiyo mtaji wake upendo wake kwetu si kamili.
Na ukitaka kuona dhahiri chuki ya tajiri, Jaribu kufanya biashara anayofanya.