Unaishi kwenye nyumba ya kupanga na umelipa kodi mda (hudaiwi), lakini linapofika swala la kusaini mkataba inakuwa kipengele.
Kuna mda majukumu yanakua mengi yanasababisha.
Ulishwahi pitia changamoto hiyo na ilikuaje?
Today, the MCP community is announcing MCP Apps, the first official MCP extension. @code is the first major AI code editor with full MCP Apps support.
With MCP Apps, tool calls can now return interactive UI components that render directly in the conversation. Learn more: https://t.co/CyrbuqP330
Jufunze fundamentals kila uwezavyo..
1. Algorthim
2. Data Stuctures
3. System Design
4. Kuandika specs kwa ajili ya Agents to executes
5. Tradeoffs
#JifunzeSasa
Answering a top request from our users, we’re introducing Personal Intelligence in the @GeminiApp. You can now securely connect to Google apps for an even more helpful experience.
Personal Intelligence combines two core strengths: reasoning across complex sources and retrieving specific details, e.g from an email or photo, to provide uniquely tailored answers.
It’s built with privacy at the center. You choose exactly which apps to connect, these connected app settings are off by default.
Napenda sana kusaidia watu wajifunze fundamentals za computer science kwa urahisi na wepesi. Fundamentals ndio msingi wako kama unataka kukua na kutumia AI kwa ufasaha.
Kuna nafasi nyingi sana kwenye #tech industry na zitakua nyingi siku zijazo. Watu wengi wameingiwa na hofu sababu ya #AI. Bado hujachelewa kuingia kwenye #tech. Huu ndio wakati sahihi.
#MaarifaPodcast#JifunzeSasa#tech
Mambo ya kuzingatia unapoanza kujifunza coding:
1️⃣ Usikimbilie kila framework mpya inayotoka.
2️⃣ Chagua framework moja, jifunze vizuri na jenga (projects) nayo.
#MaarifaPodcast#JifunzeSasa#Maarifa
Niko mbioni kuzindua Mfuko wa Ubunifu (Startup Fund) wenye thamani ya shilingi bilioni 25 kusaidia wana teknolojia, akili bandia (AI), fintech, na wabunifu wa kiteknolojia hapa Tanzania na Afrika.
Tutatoa michango na uwekezaji kusaidia vijana wabunifu wenye mawazo ya kubadilisha dunia.
Andaieni mawazo yenu — muda umefika!
#Ubunifu #Teknolojia #AI #Fintech #Tanzania #AfricaRising
Last day of the AWS re:Invent Expo - and your final chance to catch us live.
🚨 1:30PM: “Enterprise AI Without the Chaos” w/ Jim Clark (Theater 2)
How Docker + AWS cut through AI complexity with secure, scalable workflows.
🚨 Still haven’t seen Kiro + Docker Sandboxes in action? Stop by booth 1819 before we wrap up!
#Docker #AWSreInvent #AI #MCP #Sandboxes #AWSKiro