Vitu vikipandaga bei ni ngumu sana kushuka
Yan hapa hatakama wese likishuka kama lilivyokua au zaidi
Utashangaa nauli ipo pale pale na bei za vitu mule mule na tunazoea kabisa.
Zamani nilidhani msanii anachokionesha kwenye video zake za mziki ndo anachokiishi
Sasa nimekua mtu mzima, itoshe kusema Mungu aniepushe na io laana, wadau wanaishi maisha mabaya mno😂😂
Bwana nyie ishini maisha ya kawaida, yan hii hali ya uchumi ni ngumu kwa kila mtu hasa hao ma celebrity wenu wa Kibongo bongo ndo maisha hawana kabisa yani🙌🏾
Music Artists wa bongo hawana alternatives
Ukitoa youtube, hawana fanbase ya kuskilizwa spotify, apple music n.k
Ukitoa IG & tiktok, hawana fanbase yyt kwenye platforms kama X.
Sanaa kwetu bado changa mnoo!!
Nimepata mabadiliko ya ghafla siku mbili tatu hizi
Nakula mara moja, appetite imepotea kabisa
Simalizi chakula sahani nzima nabakiza hata nusu
Kuja kugundua leo ni stress wazee, hii kitu ni mbaya sana😔
Kila shule ina kikundi flani cha watu,
Wanapenda kuskiliza rap, wanaongea kiswahili wanachanganya na english
Alaf wanapenda kucheza kikapu
Kama hamkua na hiki kikosi shuleni rudi ukasome
@Isayadicksonjr@Maisha_Pro Af sa kuna wale wadau wamenyooka, wanafaulu kishenzi, wana vipaji wanavutia madem ila kwenye matani huwakosi unajiuliza Mungu kawanyima nin hawa.