‼️Amepatikana ‼️🚨
Leo nimepokea taarifa kuwa Leonard Hango amepatikana akiwa polisi na ameachiwa yuko huru
Shukrani kwa wote mliompambania!
#EnforcedDisappearances#Tanzania
Leonard Hango was found at the Kiluvya police station and is out on bail
We continue to track all abductions and fight for the freedom of all ✊🏽
@Sativa255 Et wananchi wanamuita, so inamaanisha polisi na mwananchi ni mbingu na ardhi, si ajabu ndo hua wanaenda kufundishwa hayo kwenye hizo kambi uchwara zao