بسم الله الرحمن الرحيم
Headline News 23/12/2020
Russia Propaganda Victory
US Pressed Against Labelling Houthis Terrorists
Will Indonesia be Next to Normalise Relations with the Zionist Entity
https://t.co/2Px070Lrty
Rekodi ya Afisi Kuu ya Habari: "Nani Hizb ut Tahrir?"
Afisi Kuu ya Habari inafuraha kuwaletea wafuasi na wageni wake wa Tovuti za Afisi Kuu ya Habari video ya Hizb ut Tahrir, ambayo imebeba jina la "Nani Hizb ut Tahrir?"
#AfisiKuuHizbutTahrir
https://t.co/2B7Hrhf2zL
Ni Wakati Sasa kwa Majeshi ya Waislamu Kuonyesha Misimamo Yao
Kashfa dhidi ya matukufu ya Uislamu imekuwa ni jambo la kuendelea kwa Makafiri kuonyesha ghadhabu na chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu.
#AfisiKuuHizbutTahrir
https://t.co/f1OvJQKbmN
Video za Kongamano Jumuishi la Viongozi wa Makabila, Uongozi Mbali Mbali na Wanachuoni wa Sudan Mashariki
Jumamosi, 06 Rabi' al-Akhir 1442 H sawia na 21 Novemba 2020 M
#AfisiKuuHizbutTahrir
https://t.co/fLfRSFsXBI
Vipaumbele vya Amerika
Uchaguzi wa uraisi wa Amerika umeonyesha mgawanyiko mkubwa nchini Amerika na kile ambacho raisi wa Amerika Donald Trump kwa muda mrefu akicheza nacho.
#AfisiKuuHizbutTahrir
https://t.co/7VxCaDulij
Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Ulinzi Halisi kwa Mwanawake Uko katika Nidhamu ya Kisiasa
Inayomrudishia Dori yake Muhimu katika Ujenzi wa Vizazi vya Ummah
#AfisiKuuHizbutTahrir
https://t.co/Jm055AGJ42
Afisi Kuu ya Habari ya HT inafuraha kuwasilisha kwa wafuasi na wanaozuru kurasa za Afisi Kuu ya Habari kupitia ukurasa huu, DVD za hivi karibuni zilizotolewa na Idara ya Machapisho na Nyaraka katika Afisi Kuu ya Habari ya HT.
#AfisiKuuHizbutTahrir
https://t.co/1cd3juPy3I
Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Familia ya Kiislamu Imeimarishwa na Haihitaji Makubaliano Yanayodai Kheri na Kuleta Maafa
#AfisiKuuHizbutTahrir
https://t.co/A2T0L9GdFZ