Bomba la Mafuta kutoka Hoima (Uganda)hadi Chongoleani limewadia.Mapema leo Mgombea Ubunge Jimbo la Tanga Mjini @ummymwalimu amehudhuria zoezi la kutoa hundi ya Tsh bil 3.2 kwa wananchi wa Kata ya Chongoleani ambalo limefanywa na Mkurugenzi Mtendaji wa Tpdc Dk James Mataragio.
“Juzi nilipigiwa simu na Kenyatta nikiwa bado Chato, akanipa pole na kujielezea mambo ya corona kidogo, leo pia mimezungumza nae pia, kuna kimgogoro kule mpakani mwa Kenya, Kenya ni Marafiki zetu, corona isiwe chanzo… https://t.co/VsBxSA2UpH
Ngoma gani unataka kuisikia mchana huu kwenye show kali ya #PowerAfternoon
Cc
meck_manyanga @JohnsonDismas3
Kwenye Mashine DJ @BobNasirThabit @ Tanga Town https://t.co/I0DUX2EN9d
Burundi leo inafanya uchaguzi mkuu kumtafuta mrithi wa kiti cha Rais Pierre Nkurunziza anayeondoka baada ya kukaa miaka 15 madarakani.
Jumla ya wagombea 7 wanawania nafasi hiyo lakini upinzani mkubwa upo kati ya… https://t.co/FwodtCzmOa
🔵Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi watumishi watatu wa wakala wa ufundi na umeme (TEMESA) kwa tuhuma za kuhusika na upotevu wa shilingi milioni 780 zinazotokana na zabuni na kutoa miezi miwili kwa… https://t.co/YA2YO5f3v0
Matarajio ya Hali Mbaya ya Hewa kwa siku Tano zijazo na Athari zinazoweza kutokea
Mvua, Upepo mkali na Mawimbi makubwa. @ Tanga Town https://t.co/2mCaV2DmMO
#PowerAfternoon..
Ngoma zote hit zitasikika kwa dhamana ya DJ @BobNasirThabit kwenye mashine..
Ngoma gani unataka kuisikia mcshane huu??
Cc
meck_manyanga @JohnsonDismas3 https://t.co/VtdOR9MIPG
Raia wote wa Uganda kuanzia miaka 6 watapewa barakoa bure kwa ajili ya kujikinga dhidi ya virusi vya corona. Rais Yoweri Museveni amesema itakuwa lazima kuvaa barakoa mtu awapo kwenye maeneo ya umma. Ameongeza kuwa… https://t.co/1OJRByACtg
Mkuu wa mkoa wa tanga Maritini Shigela ametangaza kuyazuia magari yote ya mizigo yanyao toka nchini Kenya na kuingi hapa nchini Tanzania katika mpaka wa Horohoro kwa baadhi ya madereva wa Kenya 19 waliopimwa corona… https://t.co/6YYss7MONy