@bijmat061@Phbhimself Alisema hvyo kwakua waliumbwa wanyama ambao hawakua na mfanano wake alipo umbwa Hawa/Eve ndipo akasema hvyo kwakua alikua mfanano wake (binadamu mwenzake)
@Phbhimself @Arjun_992 Katika maandiko Mwanzo 1 ukisoma yote na Mwanzo 2. Hakuna mkanganyiko wowote. Iko hivi Mwanzo 1 yote inaelezea vitu vilivyo umbwa na Mwanzo 2 inaelezea flash back ya matukio yote ya Mwanzo 1 namna yalivyopata kuwapo.