Mayele🗣
"Nimeona club ya yanga wamenipost kwenye page yao, leo hii wakionyesha vile wapo proud na mimi, ndio hivi dunia ilivyo, club ambayo nilitoka kwa uchungu na matatizo ya kujaa miguu kama vile hakuna jema niliwahi kufanya, sitawahi kupona kwenye hili💔"
Kuna time kwenye maisha unakuwa na mtu, then unamchukulia poa, au unaweza ukamuumiza au hata kumchukia kabisa, usijue huyo mtu uwepo wake ndio unakupa na wewe kuwa hivyo ulivyo,. Siku akiondoka utajifunza lakini kwa machozi💔✍.