@KimbavalaUledi@KennedyMmari@YoungAfricansSC@Alikamwe_@bajabiri Inaonekana wakati process zinaanza hukuwa makini kufuatilia.
Tender yeyote anayoipata kampuni huwa kunakuwa ma mchakato wa kuzabuni kwa mradi wa aina yeyote. Na toka mwanzo Yanga walitoa taarifa hiyo na ndivyo process zinavyokuwa katika udhamini wa miradi. Sijui ww upo giza lipi