@Elsukay0 Hii ndio maana masikin anabaki kuwa masikin maana anaamin tajir alizaliwa na mtaji, yanga kamfunga simb juz kwa kutawal mchezo simba walipewa bahasha? Mbna unakua mjinga we jamaa
@WideEdson Hata wachezaj wa yanga dk 20 za kwanza walikua hivo, wazito na pasi hazifiki, kwahio simba nao walicheza nje ya uwanja? Msipo badili mindset zenu tutawakanda mpaka 2100, pale ambapo masikin anaamin tajir katajirika kwa msaada wa familia hivo yeye analala tu ili awe masikin mulele
@mreno255 Mzee kitanda kina kuongezea nn kwenye maisha yako, wengi tunaogopa kwasababu ya madem wakija wanatushangaa lakn hakuna haja ya kuwa na haraka ya kueka kitanda cha 300k wakata unaeza subir ukapata 600+ ueke bed ya miaka mingi, mbna room safi kabisa hii