@iddynonga_ Matokeo ya ASEC leo, bado hayana umuhimu mkubwa sana kwa Simba. Wote wawili (Simba na Wydad) watacheza dhidi ya ASEC na Jwaneng. Muhimu ni Simba kumfunga Jwaneng home na kimfunga ASEC away. FULL STOP.
@iddynonga_ Kuna umuhimu mkubwa wa kufikiri kabla huja-post. Tena ufikirie kwa kutumia akili. Simba akishinda mechi ya Jwaneng, halafu akashindwa kumfunga ASEC ugenini, then Wydad akashinda mechi yake ya ASEC na Jwaneng nani atafuzu??.
tuache hizi porojo muhimu ni Simba kushinda mechi zote.
@iddynonga_ Nadhani ni kutokujua au kutokufuatilia vitu kwa umakini au kuzungumza bila kufikiri. Unamtaja MUDATHIR ambaye hajacheza mechi mbili tu CAFCL tena mechi ambazo Gamondi alibadili mfumo wake wa kawaida wa 4-2–3-1 ma kutumia mabeki watatu.
Jitahidi kujua mambo yanayohusu tasnia yako
@FKihamu Ndio maana wazungu wanasema “you cant change a winning team”.
Gamondi si Nabi.. wala hakuna ulazima wa kufanya rotation kama Nabi ili aonekane kuwa kocha bora, muhimu ni yeye kupata ubora wa wachezaji wake anaowaamini kwa kupata matokeo mazuri
@FKihamu Iko hivi, Gamondi si lazima afuate misingi ya Nabi (kwa kufanya rotation) yeye ameshapata wachezaji 8-9 wa kikosi cha kwanza bila majeruhi si muhimu kufanya rotation as long as wachezaji hao wanampa matokeo.. makocha wanaofanya rotation kwa wachezaji zaidi ya 6-7 si wengi
@TenHagBall_ For a right wing, he need to have goal contribution like what others do. Now tell me, how many G/A he had in Uruguay NT. He was sent to Spain to get some minutes..he did.. Now tell how many goals or assist did he provide?
@TenHagBall_ @TylahTalkz This boy is so overrated. Since his senior debut in Man United he managed to have one assist. No Goal. Went on loan to Alaves, failed to be first team player, had 0assist and 0goals. We wasted money on him together with Amad. They’re both too average. Not enough to play for Utd
@George_Ambangil Good thing umeamua kutoa honest opinion kabisa. Last year United hawakuwa bora n yet wamefanya usajili wa mchezaji mmoja tu..Hojlund ambaye sio ready made striker.( Mount? United haikuwa na shida ya CM kama yeye… Onana? Was inevitable after DeGea departure)
Poor transfer window
@George_Ambangil Kwa Pep sidhani kama ingemlipa sana labda kama angecheza pamoja na Rodri.. si unaona jinsi Kalgan Phillips anavyopata shida akicheza City ya Pep kama lone holding midfielder?.. ingekua hivyo pia kwa Luiz maana wote(Kalvin na Luiz) ni type moja
@George_Ambangil Sure. Arteta alimtaka kwa sababu alihitaji kumtumia yeye pamoja na holding midfielder mwingine. Na anaweza kucheza vizuri tu akiwa pamoja na Dec Rice au Thomas au Xhaka last season.
@George_Ambangil This summarizes how selfish English players. First, it was Phil Jones. Had to milk the club until the very last day of his contract. Lingard also ran down his contract hoping for a fat paycheck from his next club, in the absence of a transfer fee
@Jeba_OG Ukiongea ukweli, hata mashabiki wa United wenyewe wamekua surprised kwa Mount kupewa no7. Na wengi hawajafurahishwa, walitamani Garnacho apewe hiyo jezi, infact hata Garnacho mwenyewe alitamani jezi hiyo ndio maana amekua akijitambulisha kama Garnacho7
@Jeba_OG Legacy ya jezi namba SABA ya Manchester United huwezi kuilinganisha na legacy ya jezi nyingine yeyote nchini England. Ndio maana haikuwa ishu yeyote kwa Nketiah kupewa 14, ESR kupewa 10, Pulisic kupewa 10 n.k
@KamalCabdi@George_Ambangil Infact Klopp mwenyewe alishawahi kusema kwamba Trent ni RB na atakapokua kocha wa Liverpool hilo halitabadilika. Ulichokiona last season kwenye mechi za mwisho, usitarajie ukakiona tena. Ndio maana hata CMs aliowasajili wote ni attacking minded.
@KamalCabdi@George_Ambangil Yaani Klopp awasajili Mac na Szobo then amtumie Trent kwenye midfield?? Hujamjua vizuri Klopp. Ukihitaji kumjua Nenda kasome kitabu cha Pep Lijnders cha INTENSITY utanielewa.
Nipo hapa, bado siku kadhaa ligi ianze utaona kama Klopp atatumia mabeki watatu nyuma.
@KamalCabdi@George_Ambangil True. Na hiyo ilikua temporary fix tu. Na ilimsaidia sana Klopp. Lakini msimu ujao usitarajie kuona Trent akicheza kwenye midfield. Ndio maana mpaka sasa Klopp amesajili CM wawili na bado anataka mwingine.