So hawa jamaa huwa wanajuaje kama subscription inaenda kuisha? Wanajuaje yani. Sio hawa tu, Google one the same, YT premium the same. Hawa jamaa wanauza taarifa zetu?
Mwigulu Wambie Watanzania nani huyo alimpiga Lissu risasi ili ionekane ni serikali?
Tangu mwaka 2017 Mpaka sasa mmechukua hatua gani?
Je hao waliompiga risasi Lissu ili ionekane serikali ndio waliomfukuza Lissu bungeni? Tena kinyume cha sheria?
Je hao watu ndio walimnyima Lissu pesa ya matibabu ambayo, alitakiwa kupewa kisheria? Mpaka leo?
Je hao ndio walimnyima Lissu kiinua mgongo chake ?
Je hao watu ndio waliondoa polisi wanaolinda nyumba za serikali na kuacha geti wazi?
Je hao watu ndio wamemkamata Lissu na kumpa kesi ya uongo ya uhaini?
Tatizo mnafikiri Watanzania ni wajinga kama nyie.