@dailynation I cant prove but i know eastleigh lockdown is for the poor do your investigation as long as you can part with 50 or 200 you are good to go,i know of individuals who have travelled through those barriers on highway too
@rollymsouth Jirani yangu mhuni,anagombana na wake zetu na wahuni wenzake nyumba ina milango 8 hivi huyu anasaidikaje,achana naye aishi maisha yake ya kutoka kazi kuvaa vishati vya offer si Omo na Jamaa akiosha na kufua,sio lazima..
@Milele_FM@Luchivya Linalo nikera ni watu wazima kujifanya kama watoto aty lazima wakutane bila kuzingatia umbali wa mita moja polisi wanakuja wakipita watu wanarudi.