@LarryMadowo Ukimya uliopo na maandamano ya wanausalaa huko mitaani yanatosha kusema kile wananchi wanataka.wote wanataka haki,uhuru,uwajibikaji na amani.
@TZMsemajiMkuu Nasikia huko Tanzania X imefungiwa na serikali. Sasa kuna haja gani msemaji wa serikali kupost kwenye mtandao ambao wananchi hawawezi kuona isipokuwa kwa vpn?
@TZMsemajiMkuu Mnatengeneza matatizo halafu mko busy kujifanya mnayatua. Huu muda tulitakiwa kufanya kazi za maendelea ya wananchi ila ona matatizo mliyoyatengeneza yanavyowapotezea muda kuyatatua?. Hii nchi ni yetu sote,si kwamba ninyi mna akili sana kuliko watanzania wengine zaidi ya 64m
@TZMsemajiMkuu Badala wamkataze asiende kuongea na wanahabari wamemuacha ameenda kujidhalilisha, kweli hatupendani π€. Ameweza kukaa kimya siku 25 baada ya mauaji mnaruhusu mwenzenu akaongee kwa sababu tu ya ripoti ya cnn!.
@ikulumawasliano Huu ni mtihani pia,tutaufanya na kufauru. Hatutafeli maana tumepewa kusudi tuende kwenye hatua ya juu zaidi.gharama zake ni kubwa hivyo mahali tunaenda ni juu sana pia.
@TZMsemajiMkuu Hizi kauli siyo za jeshi letu,kuna watu jeshini mnawatumia ili wananchi waone jeshi liko upande wa ccm na siyo wanachi. Siamini kama jeshi linaweza saliti wananchi maana wanaona na wanaumia kama wananchi wanavyoumia.
@ikulumawasliano Wacha nisijibu mambo ya maana maana kuna kakitu kananikumbusha kwamba sitakiwi kuingia kwenye misukosuko na serikali.niseme tu mnafanya kazi
@Deo18Tarimo Mbona tulishamkataza kuja kwenye vikao tangu mwaka juzi!, kama kuna yeyote amemuona vikaoni popote pale ajipe taarifa ili tumpeleke mahakamani.asee