Gwajima alisema hivi virusi na chanjo ni michezo ya wazungu mkamuona mbaya. Sasa waliodungwa na camera zikiwa on #Omicron anabisha hodi🤣🤣🤣. Yeye amesema hasikii chanjo sasa. Bado variant zinakuja. Hii Pfizer ya juzi wangeitupa tu maana huyu mgeni haimshtui kabisa.
Watu wenye akili timamu wanapaswa kuikemea na kupinga KAULI ya IGP. Hatuna maana tunataka kuhalalisha alichofanya HAMZA, HAPANA. Kauli za IGP wakati wa kuwaaga ASKARI wetu ni HATARI pia. Tushughulike na tatizo (lipo) kuliko kujifanya TATIZO halipo, namna hiyo hatuwezi kulitatua.