@rollymsouth Kujenga bongo ni rahisi, 50-70M unapata kamjengo decent kabisa.. Hiyo 50M ukifungua biashara mpya au kuinvest bongo 85% chance hautoboi (Labda kwa wachache wenye vipaji). Kujenga kwa wabongo in general ni kuiokoa pesa isipotee
@kartalAfrica@rollymsouth@moodewji Kaka, issue ni kuanzisha hiyo biashara ikulipe au uwekezaji ukulipe. Most of businesses bongo hazilipi na investments hazirudishi. Nasemajee, ukipata kibunda mahali, JENGA BROTHER😅
@samwel_ek Jamaa yuko sawa kimtazamo.. Pamoja na maternity leaves na low productivity, kwenye familia nyingi ambazo mke na mume wote wana vipato, kipato cha baba pekee ndio kinahudumia familia
@INFLUENCERjr Ni hela ila sio ya kumlalamikia khanji, betting ni starehe kama ulevi tu unaoulipia hizo jiti na jero😅 tena una bahati umeweza kujicontrol
@Very_samson @yose_hoza Unajua maana ya vipodozi mkuu? Vitamin C itakupa afya ya ngozi tu. Vipodozi ni makeup, rangi za midomo, kope, macho n.k. Elimika kwanza boss😄