@MkulimaKante Hamna mtu wa hovyo kuwahi kutokea kama Khamenei.... kwanza mazungumzo hataki ,anafadhili Ugaidi kla kona ya mashariki ya mbali na vitisho vingi pamoja na mauaji ya raia wake kumbe nguvu Hana ...... ndani ya sec 30 tangu mashambulizi yameanza wakamuua ndo nn sasa
@EsirEid We jamaa jana ulisema wametangaza wamemuua ila ajitokeze wajue location..... badae ikawa n kweli hawa jamaa Wana shushushu wengi kwenye ngazi za juu za irani wala hawahtaj mambo ya mazungumzo ya aman .... ndo maana Trump alitangaza kabla anajua mzee alipo na akmhtaj m chap tu
@macnice1@PolycarpMDM We ndo utafute @AJEnglish ujifundishe kwao ...... jana Isreal karusha ndege zaidi ya 200 angani wakat wa shambulizi la kwanza ilioua makamanda wa kijeshi zaidi ya 40 na kuweka historia yao tangu kuanzishwa kwao kurusha ndege nyingi kiasi hcho
@matdental Dakika ya kwanza tu ya mashambulizi waliondoka na kiongozii mkuu,waziri wa ulinzi ,kamanda mkuu wa jeshi na viongozi wengne zaidi ya 40 ....... hawa wahuni n hatar sana
Semeni MAZURI yooote kumhusu Polycarp Cardinal Pengo. Lakini kwa namna alivyosimama kidete, wima, kwa kunyooka na Magufuli akiibomoa DEMOCRASIA CHANGA ya NCHI hii tuliokuwa tumeanza kuijenga na sasa hapa ndipo tulipo, moyo unanigomea kumsamehe. Niacheni tu.
@Madola__@EsirEid Mazungumzo yameshindkana na mzee anajibu kiburi na kutishia kuzamisha Manowari za marekani unadhan lingeisha bla kufanya jambo wengne s wangemzoea marekani?
#TajiriLaKihaya
Kwa Nini Iran Inasimama Peke Yake Dhidi ya Israel na Marekani Wakati Nchi Nyingine za Kiislamu Zinajiunga na USA:
Kabla ya 1979, Iran chini ya Mohammad Reza Pahlavi ilikuwa mshirika wa karibu wa Marekani na ilikuwa na uhusiano wa kimya na Israel.
Kila kitu kilibadilika baada ya Mapinduzi ya Kiislamu yaliyoongozwa na Ruhollah Khomeini.
Utawala mpya ulijitambulisha kwa nguzo tatu:
• Kupinga utawala wa Magharibi
• Kukataa uhalali wa Israel
• Utawala unaotokana na theolojia ya kisiasa ya Kiislamu ya Shia
✅ Utambulisho wa Kidini:-
Iran ni taifa lenye Waislamu wengi wa SHIA katika Mashariki ya Kati, wakati nchi nyingi za Kiarabu ni Waislamu wa SUNNI kwa wingi.
Mgawanyiko wa Sunni na Shia ulianza baada ya kifo cha Mtume Muhammad (SAW) ,
Awali ilikuwa ni kuhusu nani anapaswa kuwa kiongozi wa jamii ya Kiislamu;
• Waislamu wa Sunni waliona kwamba uongozi unapaswa kwenda kwa SWAHABA bora zaidi (Abu Bakari RA).
• Waislamu wa Shia waliona kwamba uongozi unapaswa kuwa kwa familia ya Mtume, hasa Ali RA.
Kwa karne nyingi, tofauti hii ya kisiasa iligeuka kuwa ya kitheolojia.
Leo:
• Takriban 85-90% ya Waislamu duniani ni Sunni
• Takriban 10-15% ni Shia
• Iran ni takriban 90-95% Shia
• Nchi nyingi za Kiarabu (Saudi Arabia, Misri, Jordan, n.k.) ni za Waislamu wa Sunni kwa wingi
✅ Nini Kinachofanya Fikra za Kisiasa za Shia Zilete Tofauti?
Shia wa Twelver wanaamini kwamba Imam wa 12 alitoweka na atarudi kama Mahdi.
Hii ilisababisha tatizo la kisiasa:
Nani atakuwa kiongozi wakati Imam hayupo?
Kwa karne nyingi, wasomi wa Shia waliepuka utawala wa moja kwa moja wa kisiasa,waliongoza jamii kimaadili lakini hawakuwa watawala.
Hali hii ilibadilika mwaka 1979.
✅ Velayat-e Faqih – Mabadiliko Makubwa
Baada ya mapinduzi, Ruhollah Khomeini alianzisha fundisho la:
Velayat-e Faqih (Uangalizi wa Mchungaji wa Kiislamu)
Hoja yake:
Kwa sababu Imam hayupo, mtaalamu mzee wa Shia lazima atawala ili kuhakikisha haki za Kiislamu.
Hii ilisababisha:
• Kiongozi Mkuu
• Uangalizi wa kidini juu ya taasisi zilizochaguliwa
• Nchi iliyojengwa waziwazi kwa misingi ya sheria za Shia
Mfano huu ni wa kipekee katika dunia ya Kiislamu.
Hakuna nchi ya Waislamu wa Sunni iliyo na mfumo sawa wa ustawi wa kidini.
✅ Kwa Nini Hii Inasababisha Mivutano ya Kikanda
Sasa tunahamia kutoka kwa theolojia hadi siasa za kimataifa.
Kwa sababu nchi ya Iran imejengwa juu ya theolojia ya kisiasa ya Shia:
• Iran inaona yenyewe kama mtetezi wa jamii za Shia
• Inasaidia harakati za Shia nchini Iraq, Lebanon, Yemen
• Inajiweka kisiasa kama upinzani dhidi ya udhalimu na “unyanyasaji”
Ufalme wa Sunni,hasa Saudi Arabia wanaona hili kama:
• Changamoto kwa halali yao
• Tishio kwa utawala wa Sunni
• Chanzo cha uwezekano wa machafuko ya ndani (kwa sababu wana wa Shia wachache)
Hivyo, kinachoonekana kama “mivutano ya madhehebu” kwa kweli ni:
Utambulisho wa kidini + Halali ya kisiasa + Mashindano ya nguvu
✅ Tabaka la Utambulisho wa Kipersia dhidi ya Kiarabu
Iran ni:
• Kipersia (si Miarabu)
• Ina lugha yake mwenyewe (Farsi)
Nchi nyingi za Mashariki ya Kati ni za Kiarabu.
Hii inaongeza hali ya kujitenga.
✅ Kwa Nini Nchi Nyingi za Kiislamu Hazikabiliani na Marekani
Hii si hasa kuhusu dini,ni kuhusu kudumu kwa utawala.
🇸🇦 Saudi Arabia
• Ufalme wa Sunni
• Ushirikiano wa usalama na Marekani
• Makubaliano ya mafuta na usalama tangu 1945
• Kipaumbele cha uthabiti wa utawala kuliko upinzani wa kiitheolojia
🇯🇴 Jordan
• Nchi ndogo, maskini wa rasilimali
• Inategemea msaada mkubwa kutoka Marekani
• Inatafuta utulivu
🇪🇬 Misri
• Baada ya Camp David (1978), iliungana kimkakati na Marekani
• Inapata msaada mkubwa wa kijeshi
Nchi hizi si lazima ziwe za kibiashara kwa Israel,zinajiunga kimkakati na USA kwa ajili ya usalama na utulivu wa kiuchumi.
Iran pia inashindana na nguvu za Sunni kwa uongozi wa kikanda.
Kwa mfano:
• Saudi Arabia inaona yenyewe kama kiongozi wa Uislamu wa Sunni.
• Iran ina jiweka kama kiongozi wa SHIA.
Waandishi Takamwili (The Junk Journalists).
Waandishi wetu wa habari wamegeuka wataalamu wa geopolitics. Leo wanaandika thesis ndefu kuhusu Israel na Iran – missile trajectories, proxy wars, nuclear ambitions, who blinked first, n.k.
Hawa “wahuni” wana uwezo wa ajabu wa kuona vumbi la mchanga katika mitaa ya Tehran na Mashariki ya Kati yote, lakini hawaoni moshi wa baruti uliopita mlangoni kwao miezi minne tu iliyopita.
Wanajua idadi ya vifo vya watoto wa Tehran kwa takwimu za nukta, lakini idadi ya Watanzania waliopotea au kupigwa risasi wakati wa uchaguzi mkuu ni "habari zisizo na uthibitisho" au "uchochezi."
Wana uwezo wa kuona kombora la Fattah-1 likifyatuliwa kutoka Isfahan, lakini macho yao yanapata upofu ghafla (glaucoma ya kisiasa) kuhusu yaliyotokea mitaani kwetu 29 Oktoba 2025.
Ukiwauliza kuhusu Oktoba 29, 2025 – siku ambayo raia wetu walipigwa risasi kama target practice, miili ikarundikwa hospitalini au ikachukuliwa na “ghost squads”, wanasema hawana material.
Habari za Oktoba 29, 2025 – wanakuwa kama paka aliyemeza uji wa moto. Mdomo mzito, vidole vyao vinakuwa paralyzed, keyboard inakuwa exhibit A ya kutengeneza museum ya uoga. Shensisana.
Wachambuzi wa vita za mbali, lakini viziwi na bubu wakati damu inamwagika barabarani kwao. Wakati huo huo wanaweza kutoa maoni zaidi ya 200 kuhusu kama drone ya IRAN ililenga au la!
kizazi kinachoweza kuandika kurasa 100 kuhusu Mashariki ya Kati, lakini kikitakiwa kuripoti tukio la ukatili wa Serikali hapa nyumbani, vidole vyao vinapata kiharusi cha ghafla. Kizazi takamwili.
Ni hovyo with extra cheese, takamwili iliyopakwa rangi ya blue check na verified nonsense. Wakati raia wetu walipigwa risasi na kuuawa, wahuni walikuwa busy kuchambua SIMBA na YANGA.
Ni rahisi kulaani uvamizi wa Israel kuliko kulaani uvamizi wa mabomu ya machozi mtaani kwao. Wanalilia damu ya raia wa IRAN kuliko kutaja jina la Mtanzania aliyeuwawa kwa ajili ya kura yake.
Wanasubiri ndege za kivita za Iran na Israeli zifanye manoeuvre angani huko ili wapate cha kuandika, huku wakijifanya hawasikii vilio vya wajane na mayatima wa uchaguzi mkuu uliopita.
Briefcase journalism. Ni kizazi kilichogeuza kalamu zao kuwa kijiko cha kulia mchuzi wa serikali, wakiacha taaluma yao ikizikwa kaburini futi 6. Kizazi hiki cha wanahabari – selective outrage
@privaldinho@antonioguterres Bora wao wanalaani @ccmtazania waliua ma elfu ya watu na ukakalisha nyoro kimya nan alkuuliza ?? Punguza kiherehere cha kimataifa kama kwenye taifa lako huna