Kwa wale mnaopenda kusali Zaburi:
Anza na Zaburi 51 kuomba toba na utakaso wa moyo, endelea na Zaburi 40 kuomba Mungu akuinue katika magumu, kisha Zaburi 91 kuomba ulinzi wake kila siku, malizia na Zaburi 150 kwa sifa na shukrani kwa ukuu wa Mungu. 🙏
✅ 50% – Mahitaji muhimu: Kodi, chakula, usafiri na madeni.
🎉 30% – Jizawadie kwa kiasi: Nguo za kazi, outing moja au zawadi ndogo kwa familia.
💼 20% – Akiba na uwekezaji: Weka akiba, jiunge na VICOBA au boresha ujuzi wako.
❌ Kumaliza pesa bila bajeti Au Mikopo
Zama zile ukienda kwenye Show ukisikia huo Mdundo wanakamua Wanaume jua kabisa hakuna msanii atapanda baaada ya machizi asizomewe, ni either wana wasishuke warudie Show au Show iishie hapohapo.
Hawa machizi walitupa burudani sana 🙌
Kwenye Psychology kuna kitu kinaitwa "Premature Victory"
Hii kitu inasababisha ubongo ku relax,kupoteza focus,over confidence, careless mistakes,na kupuuza dalili mbaya.
Hii uwa downfall kwenye michezo, biashara,mahusiano hata personal struggles
Hapa shetani uwa anasingiziwa sana
Ondoa kelele zote, kinachobaki dhamira. Hakuna njia
mkato. Hakuna ziada isiyo na maana. Kujitoa kikamilifu kufanya mambo kwa njia sahihi,utulivu, kusudi, na watu ambao wametumia vizazi vingi kukamilisha sanaa yao. Kwa sababu unapouheshimu mchakato, hauwezi kuwa mgumu zaidi.
WAVULANA WENGI WANAPAMBANA KIMYA KIMYA.
Kuna presha nyingi ambazo jamii huziona kwa wasichana… lakini mara nyingi husahau kwamba hata wavulana wanabeba mizigo mizito moyoni.