Kwanini wanaume mnataka kuonja kwanza ndipo ndoa ifuate?
Sababu huna bikra, hivyo wewe ni โmwalimu wa ngonoโ, anaweza kukuoa lakini akakuta ya humo ndani imezoea sana kuliko ya nje.
Unahitaji ahudumiwe kama mke ukiwa chumbani, hivyo lazima naye ahitaji umhudumie kama mume mapema
kabla ya ndoa.
Mmezoea wote hamna hofu ya Mungu, hivyo shetani anacheza na akili zenu.
Umelala na mabwana 9 yeye wa 10, hao 9 wote waliona kitu gani kwako wasichokijua? ๐ญ
Kama vya nje havivutii (mavazi/tabia), na vinaonesha tamaa nyingi, je vya ndani vitakuwaje?
Wakuu Group letu kinakaribia kukamilika Tunasake hela za elon Musk
Group litakuwa letu sote hakuna mkubwa wala mdogo kazi ni moja tu kufollow kila page kufikisha follower 1000 kwa kila member wa group