@ShijaShibeshi@mrisho_selemani@ExMayorUbungo Kumbuka Kuna gharama zakutengeneza card pia. Tuone ni kiasi gani kinatumika kutengeneza card na baada ya hapo nini kina baki baada ya gharama zote
@Jambotv_ Naweza kusema hakuna jambo gumu kama kuwa mpinzani. Ila mpinzani hawezi kutambulika kwakuwa na bendera za Chama cha upinzani. Hebu kama nchi tuache kudanganyika na siasa za maji taka.
@MarekaMalili Wachina wasio na working permit ni wengi sana hadi kwenye company za construction. Wakiulizwa wanasema wao ni tourist, in short wanatumia tourist visa kufanya kazi zao au biashara.