Huwa mnawaview mademu in a male POV na hapo ndio mnapozingua haha! Kisa wewe mwanaume utatumia mwezi hadi mwaka kuheal, basi unaamini wanawake nao ni hivyo hivyo ๐๐๐ Wanawake huwa wanakuacha mapema na kuheal wakiwa bado na wewe, halafu wanabaki kuscout wapenzi wapya.
๐งต