@Danford_tz Wanauzaaa mnooo tena kwenye mabus sasa mfano Kofia bei ya Jumla ni 2000 wewe anakuuzuia 15000 hadi 10000 hadi 7000 unanunua hata 5000 anauza haya utataka miwani anakupa mara kitambaa cha kufuta jasho kwa mtu mmoja anaingiza faida adi 10k je akiiuzia 10 kwa siku