@tanpol Actually mama Anaupiga mwingi ila kwa wizara ya mambo ya ndani police mnapendelewa sana kazi na ushawishi wa Afande IGP inaonekana .... Ila asikaze sana hawaachie na wenzie kama magereza wanateseka sana
@Kataraia_Amani@mekomalilo@EduTalkTz@ErickKamihanda@HESLBTanzania Hapana hata bodi wenyewe wanasema sio lazima wote wapate ndio maana wanaweka priorities kwa wanafunzi wenye disorders, yatima , Hali na uwezo duni nk, Ili swala sio la kilipigia kelele kama una sababu za msingi maana huko mbeleni Lina hasara zake pale ambapo serikali ikitaka chao
@ErickKamihanda@EduTalkTz@HESLBTanzania Kwanza inabidi ufahamu kuwa ujazaji wa fomu za mkopo wa elimu ya juu baadhi ya vipengele vinabadilika Kila siku Kingine kama alipata 18% mara ya kwanza alikuwa nauwezo wa kukata rufaa .Huyo amekosa mkopo kwa kishindwa kambatanisha barua ya kusitisha masomo kwa mwaka ulipita.
@EduTalkTz@ErickKamihanda@HESLBTanzania Sasa endelea kuwa mbishi tuone ... Utafaidika Nan nin ...kupata mkopo siku hizi sio tu kwa matokeo ambayo mtu Ako nayo ...umejiuliza kama alijibu na kujaza fomu ya mkopo kama ilivyo takiwa ..!?
Kingine haya mambo sikuhiz ni bahati tuu