@HalsHjay@therealrigoh Mara ya mwisho kuona mtu mzima amewekewa P. O. P kwa tibia # ni lini?
Sasa hivi hawavalishwi tena p.o.p bali wanafungwa chuma ndani kwa ndani ulikuwa unamaanisha nini?
Mwisho japo sio kwa umuhimu kama jambo hulijui usilielezee, google hawezi kusaidia
@HalsHjay@therealrigoh Ulipokesea
1.Kusema POP wanawekewa waliovunjika mfupa
2.kusema ORIF haipo nchini kwetu wakati ni procedure ambayo hadi ma-register wa mkoani wanafanya
@Iam_Malunguja Kuna mtu wa dini mmoja nilikuwa namsikia anasema ukienda hospital ukaambiwa tatizo lako linahitaji upasuaji basi kataa zunguka pengine mpaka wakuambie kwa kutumia dawa tu utapona
@OleMtetezi@makumbawaleo_5n Na sasa hivi ilivyo mtunza bustani, mhifadhi maiti, mfanya usafi, daktari, nurse, mtu wa mapokezi wote mnalipwa hela moja 250,000
@Snowpiercer199@maelezonews Nchi ngumu sana hii hakuna sehemu kwenye kujuana kama kwenye vyombo vya ulinzi vya nchi hii, hakuna vigezo maalumu wala nini mtu hajaenda jkt kabisa unamkuta yupo msata