Polisi wameendelea kuweka kambi katika ofisi za Makao Makuu ya @ChademaTz hata baada ya siku ya maandamano kupita. Hizi ni kama tabia za madikteta wengi wanaotumia nguvu za vyombo vya dola vibaya dhidi ya umma kama afanyavyo Dikteta Museveni kwa @HEBobiwine na chama cha @NUP_Ug.
Maandamano yalikuwa na hoja mbili. (1) kupinga utekaji na mauaji ya raia (2) kutaka Serikali iwajibishe waliotakiwa kuwajibika. Serikali ikatumia nguvu nyingi (kwa kuwatumia polisi) kuzuia maandamano. Mtu yeyote anayefurahia kudhibitiwa maandamano hayo vyoyote, hawezi kuwa timamu
MADA YA WIKI HII!
MAISHA YA UGHAIBUNI,UTAWEZA? ๐
Alhamisi hii tunazungumza na Theodora Meru, Meneja Mahusiano Diaspora,CRDB Bank,pamoja na Flaviana Matata,Mwanamitindo na Mjasiriamali.
๐บ Usikose Zogo Mchongo,Clouds TV,saa 3 Usiku!
#ZogoMchongo2026#CRDBBank#Tunakusikiliza
GaraB amerusha XโFactor Challenge zawadi ni MILIONI 5 CASH
Kazi ni kuonyesha vipengele vi4 vinavyodaiwa kuwa kwenye Katiba ya Simba:
โข Wawekezaji 3โ5
โข Bodi wajumbe 8, wawekezaji 6
โข Transformation kuanza upya bila Bodi/mwekezaji
โข Mwenyekiti kuchaguliwa na pande zote mbili
Mjasiriamali, mkopo nje nje! ๐ฐ
Ukiwa na Akaunti ya Hodari, weka maokoto ya biashara bila makato. Pata ATM & LIPA HAPA bure, pamoja na mikopo hadi TSh 50M.
Fungua kupitia Tawi la CRDB, Wakala au SimBanking App.
#Benkikimpangowako#CRDBBank
Back 4 yetu ni ya mwaka 2023 hii inanipa wasiwasi ukiangalia tuna vijana kama kina Heaven na Yoro ambao tungewapa mechi nyingi za kucheza hasa kwenye high line possession based team.
Sema najua nini mimi? Kikubwa tushinde leo.
Kuna kipindi Simba tulikuwa na uongozi mzuri kuzidi timu yeyote hapa bongo na hata matokeo yetu yaliakisi hayo yote ila sahivi naona tupo nyuma sana
Shida ni tajiri? Bodi? au tumerogwa?
๐ Malkia wa Mwezi wa Agosti!
Kutana na Bi. Calista Soka, mjasiriamali aliyeanzia chini na kufanikiwa kumiliki duka kubwa la mitungi ya gesi. โจ
๐ Mfahamu zaidi Malkia wetu hapa:
https://t.co/xQtmIWvevu
#malkiawamwezi#crdbbank#benkikimpangowako
Wote tupate muda mmoja! ๐๐ฝ
Lipa mishahara na posho kwa mkupuo kupitia Internet Banking. Tengeneza faili la CSV, nenda Payments โ Bulk Payments, pakia, Submit, weka OTP na thibitisha. Rahisi, haraka na salama! ๐
#BenkiKimpangoWako#CRDBBank#Tunakusikiliza
USILIPIE KABLA HUJAHakiki!
Stempu ya ETS ya TRA โ uhakika. ๐
Kwanza tumia Hakiki Stempu kujua kama imetambulika kwenye mfumo kabla ya kununua.
๐พ Pombe | ๐ง Juisi | ๐ฌ Sigara
๐ฒ Android & iOS: https://t.co/il1xcnGyMR
Hakiki kwanza. Nunua kwa uhakika. โ
#HakikiKwanza
Tupo Live Bongo hadi Ughaibuni!
Una mpango wako wa kazi nchi za nje au tayari unafanya kazi nchi za nje!
Basi ungana nasi Live kupitia Link hii ๐
https://t.co/DS1rat5nsL
tukupe mpango mkubwa wa Ughaibuni
#benkikimpangowako#crdbbank#tunakusikiliza
โ ๏ธ Usinunue kwa kubahatisha!
Kabla hujalipa,tumia Application ya Hakiki Stempu kuhakiki stempu ya ETS ya TRA kwenye bidhaa,Jua kama stempu imetambulika kwenye mfumo kabla ya kufanya manunuzi
Pombe |๐งJuisi | ๐ฌSigara
Pakua Android & iOS: https://t.co/il1xcnGyMR
#HakikiKwanza
โ๏ธ Kata Bima, uibukie Ulaya! ๐ฐ๐
Kata Bima kupitia SimBanking App ๐ฒ, kisha shinda safari ya Ulaya, Serengeti ๐๐ฆ au pesa ๐ฐ kila mwezi!
Fungua SimBanking โ Miniapps โ Bima โ Lipa โ Jaza taarifa.
๐ฒ Pakua SimBanking App leo au piga 15003#
#SimBankingKimpangoWako
Changamoto zipo, lakini muhimu ni kusimama tena! ๐ช Kupitia uwekezaji, unaweza kuanza upya kwa usalama. Tazama Zogo la Wiki Hii kupitia YouTube ya @crdbbankplc ๐
https://t.co/Nwr1AfIb9c
#zogomchongo2026#crdbbank#tunakusikiliza
Labda nimeathirika na approach ya Pep maana siwaelewi hata hawa City wanacheza nini. They arenโt even trying to create many chances all they are doing is spamming possession with 0 mobility
3-4-3 to 4-4-2 with the ball lakini little threat
also an insane pass from Bournemouth.