-Kamanda Kanda Maalum DSM Lazaro Mambosasa.
_
Kamanda Mambosasa ameyasema hayo wakati wa kuuaga mwili wa marehemu Anifa Mgaya aliyekuwa Mwanafunzi wa Chuo cha Kampala Dar es salaam aliyeuawa juzi ikiaminika kuchomwa kisu na Wezi, Marehemu alizaliwa Februari 09, 1997.
Mwendesha mashitaka wa Sudans ameshtakiwa Rais wa zamani Omar al-Bashir na rushwa, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya serikali.
Al-Bashir alisimama na kukamatwa katika mapinduzi na kijeshi Aprili 11 baada ya miezi ya maandamano ya wingi dhidi ya utawala wa kisiasa wa miaka 30
Dereva taxi ambaye ni Mkazi wa Tegeta, Mousa Twaleb (46), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashtaka matatu ikiwemo kumteka nyara Mfanyabiashara maarufu nchini, Mohammed Dewji maarufu MO #Tripleupdatesnews@triplemedia1