#Updates..!
Mdahalo wetu wa Mtandaoni juu ya Kanuni za Maadili ya Uchaguzi (2025) umeanza. Tupo moja kwa moja kupigia GoogleMeet.
Unaweza Kujiunga sasa kupitia: https://t.co/O2aUu2oY8T
#Action4DGTz | #SisiNiDemokrasia | #DemokrasiaMtaani
#GAINTZ Youth leaders are coming together to strategize their collective action for 2025! From reviewing progress to aligning with national priorities, this session is about impact, collaboration, and real change in food systems. #Vijana4food
Gillian kwa sasa ni Mkurugenzi wa Fedha katika shirika lisilo la serikali la @Action4DG lenye makao makuu ya Dar es salaa.amekua akihamasika zaidi katika kuwaendeleza wanawake na vijana katika masuala ya siasa na uongozi.
Happy Independence Day, Tanzania! 🎉🇹🇿
As we celebrate 63 years of unity, resilience, and progress, let's also reflect on the importance of building a sustainable and resilient food system for our nation.
Tanzania Daima! 🇹🇿
#Vijana4Food#NFPYouthVoices#Vijana4Food
The YouLead Summit theme song chorus is giving us all the feels!
🎶 “You Lead, I Lead, We Lead together!” 🫶
The delegates are keeping the energy high and the leadership strong as we journey through Day 2! #YouLead24
Jambo..!
How we Wrapped-up our week in Kilwa. A total of 7 academic institutions with 1,000+ first-time voters were reached through our Voter Education School Outreaches under #Wydecivicengagement.
See you next time Kilwa🤗
Powered by; @ALDAeurope@EPDeu@EU_Partnerships
Ndioo..!
Binti Uchaguzi yupo Tayari kukuelimisha juu ya #DaftariLaMpigaKura na Jinsi ya Kushiriki Kikamilifu katika Mchakato mzima wa Daftari la Mpiga Kura
Kupitia #DemokrasiaMtaani kutana na Binti Uchaguzi kuanzia Kesho ujufunze juu ya Daftari la Mpiga Kura
#SisiNiDemokrasia
Katiba ya JMT (1977) na Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (2024) imeipa Tume jukumu la kusimamia uandikishaji wa Wapiga Kura kwa Uchaguzi Mkuu katika Jamhuri ya Muungano na Uchaguzi wa Madiwani kwa Tanzania Bara
#DemokrasiaMtaani | #SisiNiDemokrasia | #WydeCivicEngagement
Jambo.
Welcome back to our series of #DemokrasiaMtaani. All the way from Kilwa.
We have Mr Yusuph today. He’s telling us on his previous elections experience and how he’s prepared for the coming 2024 LGA elections in Tanzania.
Click to watch..👇🏾
https://t.co/hbTnSU2e9X
Habari!
Kuelekea Mapokezi ya Mwenge wa Uhuru Wilaya ya Kigamboni hapo kesho.
A4DG, Tutakuwa na mawasilisho juu ya Ushiriki wa Vijana kuelekea chaguzi za Serikali za Mitaa 2024.
“TUNZA MAZINGIRA NA USHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA UJENZI WA TAIFA ENDELEVU…”
Karibuni