@thugmindsett@afritek_co Nakuambia storytelling unaleta vitu vingine.
Hivi kwenye kujigamba vina kafanya kwenye kolabo nyingi na NBS karibia zote. Hiyo ngoma.
Swali langu ndo umegoma kujibu, jeuri au huna majibu?
@thugmindsett@afritek_co Jibu swali langu kwanza kila kitu gani?
unabishana unaleta ushabiki ndiyo shida yako, kama umesema hujui ana album ngapi inaonesha hufwatilii kazi zake sasa nguvu ya kutoa maoni sijui mnapataga wapi.
Storytelling za vina nyingi zinaufundi kitu ambacho rapcha hawezi kufanya.
@afritek_co Vitu viwili tofauti na watu wanavyomuelezea dizasta ukali wake upo angle ipi na wanakosa hoja ndo wanaleta vimaneno visivyoeleweka kama hivi.
@thugmindsett@afritek_co Kila kitu gani? Kubadilika kwa kuwa MC, rapper na singer haiwezi kumfanya awe bora kwenye storytelling zaidi ya vina coz uandishi wa vina uko juu zaidi japo rapcha siyo mbovu ila ukiweka ushabiki pembeni hawezi mfikia vina huo ndiyo ukweli.
Kama hujui mtu ana album ngapi means๐