“Karatasi yenye thamani ni pesa tu, vyeti ni uchafu tu”
Nimesoma nyuma ya daladala iliyopita hapa, lakini nikawaza
“Ujuzi sio makaratasi, ujuzi ni pesa na ziada…”
Elimu inayotoa ujuzi, ni ufunguo wa maisha.
#ElimikaWikiendi
Ruge kuandika nyimbo hii inayotufaa sana tukisherehekea kufuzu kwa Taifa Stars AFCON 2023
#RugeMutahaba
Hongera sana @taifastars_ .
Hello Hello Tanzania!
#MantazaRuge
Credit: Sports News Africa, https://t.co/DRkNCyJbWw, Being Sports 2, THT
Kati ya Legacy za #RugeMutahaba ni kurasimisha sanaa ya Bongo Fleva, kuwafanya wasanii na kazi zao wakubalike na Serikali! Mwaka 2005 utabaki kwenye historia ya Tasnia ya Muziki na Burudani ya Tanzania.
Credit: All Access (CMG), Michuzi Blog
Story by: @jmakamba#MantazaRuge
I’m still exploring the late #RugeMutahaba researching on some of his work online. I come upon the concept of “WAMANTA” vijana wadogo wajasiriamali wenye ndoto kubwa za ubilionea. It’s an interesting concept. In one video he explains why it is relevant to focus on these guys.
Ruge ni Nani? Ni siri gani iliyomfanya akafanikiwa zaidi kwenye mambo yake?
——-
Ruge mwenyewe anashare Manta muhimu sana ya jinsi ya kufanya mambo ki-Ruge! Siri hii inaweza kabisa kubadili namna unavyofanya mambo yako!
#MantazaRuge#RugeMutahaba
Credit: Clouds Media, THT
Ruge aliamini sana kwenye ndoto kama hatua ya kwanza muhimu kuelekea kwenye mafinikio. Ruge aliposema ndoto alimaanisha nini?
“Ndoto sio unayoipata ukiwa umelala, ila ni ile inayokunyima usingizi”
Fuatilia ukurasa wa @MantazaRuge kupata madini zaidi
#RugeMutahaba#MantazaRuge
I urge and call upon all Tanzanian Businesses Employers in the country to consider offering six-months support internships to Young student graduates in order to close this skills and employment gap. By doing so will really help our country and help Youth develop transferrable skills, provide vital training and gain workplace experience.
These internships will also gives them chance to develop their confidence and work skills, making a huge difference to their employment prospects after leaving college. Young Tanzanians are our greatest treasures and hope of our nation. They are our future!
Tusaidiane!
They say ‘Home is where the heart is’.....
Emphasis; your home, your heart!
Where best, would you like your heart to be?
Check out the latest article in my newsletter: HOMEWARD https://t.co/JpUnKFYO0H
@MelkiadiO@netflix My guess would be technical (sound was not mastered/normalised well) or copyright issue (music bla bla bla)... I dont think language is that bad (E) for 18+.
And how did you get it 😃😃😃, that may be the reason too.. Piracy
🚨 Job Alert!! 🚨
The @UnitedNationsTZ Resident Coordinator’s Office (UNRCO) is looking for a Communication Intern.
Click the link below to APPLY!!
👇
https://t.co/RoLoGzTT3O
Deadline for Application: 28th January 2021
#UNTZ
@kwezilukas Think of it as walking to destination X. #Achievements are those one step at a time (the objectives and milestones). #Success is you reaching destination X (when all those steps are making sense).